Mdahalo: Hamad, Kafulila vs Mbowe unakumbuka nini?

NALO LITAPITA

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
333
90
Wadau hivi mnakumbuka ule mdahalo wa hamad na kafulila vs mbowe walivyo mtuhumu mboe na chadema kwa mambo ya ajabu?watu hawa wawili ni wa rohoo wa madaraka sana hamad baada ya kukosa ukuu wa kambi ya upinzani bungeni akageuka hakutaka kushirikiana na chadema akashilikiana na kafulila kuitusi chadema sasa wawili hawa kila mmoja kwenye chama chake amekalia kuti kavu.hakika mambo yanajifunua hapahapa hata miaka 2 haijapita
 
Walikuwa kazini ndugu, walitegemea wangelindwa na kuendelea kulipwa kumbe walisahau bwana wao ni mtu wa ku hit an run.
Kafulila anamwonea donge mwenyekiti wake kwani yeye bado anakumbukwa na kuambulia vijisenti, HR yeye anatamani kiti cha Katibu wake anajua akikipata 2015 na yeye ataitwa Makamu wa raisi kivuli
 
Back
Top Bottom