MDAHALO(Debate): Unadhani nini chanzo cha ukosefu wa ajira nchini na nini kifanyike?

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,750
Wana bodi,

Naomba tujadili suala hili maana limekuwa ni janga la kitaifa. Kuanzia kwa raisi hadi mwananchi wa kawaida ndani yaJF tulijadili kwa kina. Mods naomba usihamishe mada hii sababu ni suala la kisiasa zaidi.

Mosi ni uwekezaji kidogo katika sekta binafsi, ikumbukwe kwamba hii ndio sekta ambayo imekuwa ikitajwa kutoa nafasi kubwa ya ajira ukilinganisha na upande wa serikali.

Uwekezaji huu mdogo ni kutoka katika makampuni ya kigeni pamoja na ya kizalendo. Pili ni ukosefu wa mitaji watanzania walio wengi wanashindwa kujiajiri wenyewe kwa kushindwa kupata mikopo kutoka bank na mashirika mengine ya fedha kwa kukosa vigezo.

Chukulia kijana (wa maskini ambao ndio wengi) aliyehitimu chuo chochote hapa nchini anaambiwa ajiajiri mwenyewe, kijana huyu ataanzia wapi?! Ajabu watoto wa hao viongozi wanaohubiri vijana kujiajiri wao hawajajiajiri utawakuta bot na sehemu nyngne nzuri kama hizo.

Kwa kweli kilichobaki ni kupambana kwa namna yoyote inayofaa ili kujikwamua na hali hii kwani nchi ishauzwa, ukiisubiri serikali umri utakutupa mkono na hatimaye utakufa fukara
 
Hii imekaa vizuri haitajadiliwa maana haijakaa ki majungu.

Imarisha VETA, ifanyike MOU wa some Banks na VETA, vijana wakimaliza wajiunge kwenye vikundi wakopeshwe vifaa wafanye kazi.

Mikataba ya kuongeza kwa retired Officers iachwe

Vyuo vijenge mitaala ya kujiajiri zaidi kuliko ya kuajiriwa. Change ya mindset.

Naishia hapa kwa leo
 
Hatutafika mbali kwa hiyo michezo

bomu hili tarajiwa (lowasa) binafsi naliona katika sura 2.
Mosi ni uwekezaji kidogo ktk sekta binafsi, ikumbukwe kwamba hii ndio sekta ambayo imekuwa ikitajwa kutoa nafasi kubwa ya ajira ukilinganisha na upande wa serikali. Uwekezaji huu mdogo ni kutoka ktk makampuni ya kigeni pamoja na ya kizalendo. Pili ni ukosefu wa mitaji..watanzania walio wengi wanashindwa kujiajiri wenyewe kwa kushindwa kupata mikopo kutoka bank na mashirika mengine ya fedha kwa kukosa vigezo. Chukulia kijana (wa maskini ambao ndio wengi) aliyehitimu chuo chochote hapa nchini anaambiwa ajiajiri mwenyewe, kijana huyu ataanzia wapi?! Ajabu watoto wa hao viongozi wanaohubiri vijana kujiajiri wao hawajajiajiri utawakuta bot na sehemu nyngne nzuri kama hizo! . Kwa kweli kilichobaki ni kupambana kwa namna yoyote inayofaa ili kujikwamua na hali hii kwani nchi ishauzwa, ukiisubiri serikali umri utakutupa mkono na hatimaye utakufa fukara!
 
Hii imekaa vizuri haitajadiliwa maana haijakaa ki majungu.

Imarisha VETA, ifanyike MOU wa some Banks na VETA, vijana wakimaliza wajiunge kwenye vikundi wakopeshwe vifaa wafanye kazi.

Mikataba ya kuongeza kwa retired Officers iachwe

Vyuo vijenge mitaala ya kujiajiri zaidi kuliko ya kuajiriwa. Change ya mindset.

Naishia hapa kwa leo

Kweli maana naona mdahalo umepoa
 
Lack of entreprenuership trait among the people is the major cause of unemployment. When i'm talking of entrepreneurship i'm not talking about trading, these two terms are quite different though nowadays people use them interchangeably.
 
Back
Top Bottom