Mdada wa TBC1 aliyekamatika uchawi ni nani jamani?

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
739
wajameni, kuna tetesi kwenye magazeti kuwa kuna mdada anatangaza TBC1 amekamatika uchawi laiv, hivi ni nani? kama kuna wanamagazeti humu tunaomba mtuambie ni nani.

Pili, kuna watu wanatamani kama wangekuwa ni kina Muhando, ili waajiriwe TBC, kwasababu wanaona kina muhando wengi sana kwenye shirika hili kama vile ni la mtu binafsi. hivi hakuna nepotism yoyote hapo?
 
Duh asije akawa dem wangu fulani wa pale maana kuna mdada nilikuwa namkandamiza KIZENJI siku chache kabla sijaoa. Sasa nilipooa na kuamua kumfuata YESU mdada akanikimbia bila sababu. Ila kuna wakati nilikuwa namhisi ndivyo sivyo kwani nyendo zake hasa usiku tulipokuwa tunakesha zilikuwa zanitia shaka.

Naomba Mungu isije ikawa ndo yeye. Mwenye info amwage mtama hapa
 
Kaka kama ni yeye angalia manake inawezekana alikuwa anakuwangia wewe. Wewe umpige chini kirahisi hivyo bana, lazima a-revenge
 
wajameni, kuna tetesi kwenye magazeti kuwa kuna mdada anatangaza TBC1 amekamatika uchawi laiv, hivi ni nani? kama kuna wanamagazeti humu tunaomba mtuambie ni nani.

Pili, kuna watu wanatamani kama wangekuwa ni kina Muhando, ili waajiriwe TBC, kwasababu wanaona kina muhando wengi sana kwenye shirika hili kama vile ni la mtu binafsi. hivi hakuna nepotism yoyote hapo?

Mkuu hebu tueleze kakamatiwa uchawi akiwa analoga ofisini au mitaani jamani? Toa maelezo ya kueleweka zaidi mkuu wangu. Kama ni kweli inabidi afahamike ili jamii iwe nae chonjo.
 
Back
Top Bottom