Mdada wa Kisabato aliye tayari kuolewa

KWA HIYO REKODI YAKO INA WASICHANA WAPI? WASABATO UCHUMBA TU, MIEZI MITATU NDOA INAFUATA JITAHIDI.
Uko tyr nikuoe? Una maswali mengi sana yasiyofaa hapo , kama upo tyr njoo chumba cha siri wew mjaluo, lkn umedisqulify wajaluo siwataki labda mchanganyiko
 
wadada wa kisabato bans..!!
wanakera mno sana yani na wengi wao hawaoleki ayse..
Nnlikua na girlfriend wangu bana nnlimpenda na yy alinipenda..
Shida ikawa anataka mm nimfuate huko kwenye usabato..yaani full msimamoo,,
Eti mpaka leo hajapata wa kumuoa ni mwaka wa sita sasa tangu tu-break,,

Nyie bana wasabato ni so selective sana yani..si utafute mkirsto yoyote uoe??
Hapana kaka, wa imani hii ni muhimu sana kwa future yangu
Ni heri kutokuoa kabisa Kuliko kuoa wa imani ingine.
Hongera yake kwa msimamo huo
 
Una master card... Ni Swali lililo sikika kwa Dada Aliyeko pembeni yangu hapa ambaye ameona post yako
Nina master card, funguo ya Gari, ya nyumba sio muda itakuwepo
Lkn asiweke kipaumbele hizo funguo
 
Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kutoka kwa babaye bali mke mwenye busara mtu hupewa na Bwana
 
Hata humu nimegundua wapo wasabato

Vigezo na masharti ninayazingatia
Samahani kama nimekukwaza
Umenikwaz sbb ni ubaguzi huo,mnajikuwa na tabia za kubaguana na mbigun tutabaguana?aya kila l kheri ukishapat utuletee na mrejesho uliyoyakutan nayo,
 
Umenikwaz sbb ni ubaguzi huo,mnajikuwa na tabia za kubaguana na mbigun tutabaguana?aya kila l kheri ukishapat utuletee na mrejesho uliyoyakutan nayo,
Mti wa ajabu, mbinguni hatutabaguana na hivyo twapashwa kuanzia duniani kutobaguana.
Haya sasa je , waweza badili kanga kuwa Kuku?
Kama unaweza kuwa msabato na umeona unaweza kucopy na mimi karibu Dada angu.
Ubaguzi haupo ila natafuta angalau mdada mwwny sifa linganifu na mimi.ahsante sana, naomba unisamehe.
 
Mkuu,wanawake wote wametoka kwa Bwana.but yule anayefaa kuitwa mke mwema ni yule aliyekabidhi njia zake kwa Bwana
Ni kweli ndugu, wanawake waliokabidhi njia zao kwa bwana na wanaume waliokabidhi njia zao kwa bwana ndio tunatafutana.
Kwa mimi naamini katika mafundisho ya kisabato.
Hivyo msabato aliyeshika maagizo ya Mungu basi anafaa sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom