Mdada wa Kisabato aliye tayari kuolewa

matobholo

Senior Member
Sep 21, 2016
106
100
Naona mada za kutafuta wake zimekuwa nyingi lkn naomba nami nitoe ombi lang.

Nahitaji mdada muadventista msabato baadaye aje kufanyika mke nami niwe Mme wake.
Mimi ni kijana miaka 30, mfupi wastani, nina shahada , muajiriwa gvt na Biashara nafanya pia.,

Natamtafuta mdada msabato, popote tz, awe na ajira yoyote lkn kama mjasiriamali pia sawa, mcha Mungu, mweupe au maji ya kunde, miaka 23_26, asiwe mpare au mchaga au wa mbeya.

Ndoa kuanzia Dec. Mpk June 2017, kutegemeana na makubaliano baina yetu.

Napata changamoto sana kuonana wadada wa kisabato maana Kazi zangu za kuzunguka sana hivyo sikai kanisa moja muda mrefu kupata Mdada kanisani zaidi nakutana na wasichana wasio wasabato.

Naamini nimeeleweka, karibu chumba cha siri huku nitatoa mawasiliano tuongee zaidi.

Karibuni sana.
 
Mshaanza yani nyie watu mungu ana waona,kwahiyo km sio msabato hutaki,mungu anisamehe kwakweli,msabato,mlokole mmh aya,kwani kanisani vepeee ujawaona mabinti wa jehova hd uje humu jf?
ahahaa utakosa mume wewe jifanye tu umeokoka akishakuweka ndani atakufanyeje? unamwambia baba mchungaji ananitongoza au unamwambia alikuwa x wako anataka mrudiane
 
Hupati muda wa kukaa kanisa moja..ila JF unatulia..ok sambaza vipeperushi kila kanisa unaloenda ili atakae kuwa interested akutafute.
Huwezi kulinganisha muda ninaopata Jamii forum na kwenda kanisani siku ya ibada. Ila ushauri nimeuchukua nitapima nione kama naweza ufanyia kazi
 
Naona mada za kutafuta wake zimekuwa nyingi lkn naomba nami nitoe ombi lang.

Nahitaji mdada muadventista msabato baadaye aje kufanyika mke nami niwe Mme wake.
Mimi ni kijana miaka 30, mfupi wastani, nina shahada , muajiriwa gvt na Biashara nafanya pia.,

Natamtafuta mdada msabato, popote tz, awe na ajira yoyote lkn kama mjasiriamali pia sawa, mcha Mungu, mweupe au maji ya kunde, miaka 23_26, asiwe mpare au mchaga au wa mbeya.

Ndoa kuanzia Dec. Mpk June 2017, kutegemeana na makubaliano baina yetu.

Napata changamoto sana kuonana wadada wa kisabato maana Kazi zangu za kuzunguka sana hivyo sikai kanisa moja muda mrefu kupata Mdada kanisani zaidi nakutana na wasichana wasio wasabato.

Naamini nimeeleweka, karibu chumba cha siri huku nitatoa mawasiliano tuongee zaidi.

Karibuni sana.
PIGA GOTI SANA AFU KANISANI MABINTI WENGI
 
Mshaanza yani nyie watu mungu ana waona,kwahiyo km sio msabato hutaki,mungu anisamehe kwakweli,msabato,mlokole mmh aya,kwani kanisani vepeee ujawaona mabinti wa jehova hd uje humu jf?
Hata humu nimegundua wapo wasabato

Vigezo na masharti ninayazingatia
Samahani kama nimekukwaza
Mshaanza yani nyie watu mungu ana waona,kwahiyo km sio msabato hutaki,mungu anisamehe kwakweli,msabato,mlokole mmh aya,kwani kanisani vepeee ujawaona mabinti wa jehova hd uje humu jf?
 
Naona mada za kutafuta wake zimekuwa nyingi lkn naomba nami nitoe ombi lang.

Nahitaji mdada muadventista msabato baadaye aje kufanyika mke nami niwe Mme wake.
Mimi ni kijana miaka 30, mfupi wastani, nina shahada , muajiriwa gvt na Biashara nafanya pia.,

Natamtafuta mdada msabato, popote tz, awe na ajira yoyote lkn kama mjasiriamali pia sawa, mcha Mungu, mweupe au maji ya kunde, miaka 23_26, asiwe mpare au mchaga au wa mbeya.

Ndoa kuanzia Dec. Mpk June 2017, kutegemeana na makubaliano baina yetu.

Napata changamoto sana kuonana wadada wa kisabato maana Kazi zangu za kuzunguka sana hivyo sikai kanisa moja muda mrefu kupata Mdada kanisani zaidi nakutana na wasichana wasio wasabato.

Naamini nimeeleweka, karibu chumba cha siri huku nitatoa mawasiliano tuongee zaidi.

Karibuni sana.

wadada wa kisabato bans..!!
wanakera mno sana yani na wengi wao hawaoleki ayse..
Nnlikua na girlfriend wangu bana nnlimpenda na yy alinipenda..
Shida ikawa anataka mm nimfuate huko kwenye usabato..yaani full msimamoo,,
Eti mpaka leo hajapata wa kumuoa ni mwaka wa sita sasa tangu tu-break,,

Nyie bana wasabato ni so selective sana yani..si utafute mkirsto yoyote uoe??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom