Mdada katendwa kabakia haamini kama ni yeye ...

He he he he, kumbe unataka 'baby come back'?

Yuko bize na Bi. Chau, hakuna cha Omotola wala Genevieve

Mtaa wa sita mtanikoma, exclisively hili jigambo kwa Kaunga tu

Babu DC sijui kwanini namuamini Eiyer, acheni nimiamini akinitenda si nitakuja mtanicouncil!

Halafu si huwa mnatushauri tuwaamini wapenzi wetu without reservation, sasa nikiwa na reservation maisha nitauafurahiaje?

Pamoja na hayo, nakubaliana nawe kuhusu kujisifia, nimefanya hivyo kwa Kongosho tu maana ameninyanyasa sana huko nilipokuwa nashare naye!
LOL
 
Last edited by a moderator:
Hapa hakuna cha kubaniwa wala nini...dume limeamua kukengeuka tu...hata lingepewa 4 times a day bado lingeenda huko kwenye maji taka!

Babu DC!!

Mbona sisi hatuwatendi namna hii Dark City kila kukicha matukio kama haya kwa wanaume yanazidi whyyyyyyyyyyyyyyyyyyy kwa nini?
 
Last edited by a moderator:
wanaume kitu gani bwana...upuuuzi mtupu..
Smile usiseme hivyo haya ni maisha but as for me bwana akifika mahali he wants to marry aoe ila asilete nyumbani kwangu akapange nae huko aniache na wanagu tule bata. Ukimwendekeza utakufa uiwa mtoto bure. so far kwenye life mwanaume akisha kuchoka huna ins but dont ever quit wewe aondoke yeye aliyechoka. akuache wewe na wanao muendeleze maisha.
 
Last edited by a moderator:
Babu Dark City, wanasahau kuwa mwanamme anapokatazwa ndio anataka kufanya zaidi
Labda uhamie kwa 'Muzungu' lakini hawa nao wakiekengeuka wao ni 'talaka' moja kwa moja
Bora aoe ujue mko wawili full stop.

Hapa hakuna cha kubaniwa wala nini...dume limeamua kukengeuka tu...hata lingepewa 4 times a day bado lingeenda huko kwenye maji taka!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ni sawa Kaunga ila mpaka muwatangazie majirani au kutoa press release/press advert eti mnawaamini waume zenu?

Hilo ndilo linalonikera mie,

Babu DC!!

Copy that DC

But l can tangaza kuwa l am in love with Eiyer si ndio? Nausemea moyo wangu hapa. Na yeye akiusemea wa kwake si Okay???
 
Last edited by a moderator:
Smile usiseme hivyo haya ni maisha but as for me bwana akifika mahali he wants to marry aoe ila asilete nyumbani kwangu akapange nae huko aniache na wanagu tule bata. Ukimwendekeza utakufa uiwa mtoto bure. so far kwenye life mwanaume akisha kuchoka huna ins but dont ever quit wewe aondoke yeye aliyechoka. akuache wewe na wanao muendeleze maisha.
kina mama hamna issue zingine za kudiscuss ni mume wangu mume wangu...mbona wao hawana time na nyie? ndo kama ivo wapo buusy kutafuta k mpya...mnaniboa...wanaume wenyewe hata akilini mwao hampo.... craaaap...jifunzeni hata jinsi ya kutengeneza shampoo za parachichi tuache kuagiza nje uchumi upande....
 
He he he he, kumbe unataka 'baby come back'?

Yuko bize na Bi. Chau, hakuna cha Omotola wala Genevieve

Mtaa wa sita mtanikoma, exclisively hili jigambo kwa Kaunga tu

Kongosho yaani nimecheka kwa nguvu na niko mwenyewe ufisini! Asante kwa kumake my day, ngoja nilipie pesa za 'from the people of America' kwanza!

Bon apetit Omo yeye anapunguza wowowo she doesn't do lunch! LOL
 
Last edited by a moderator:
kina mama hamna issue zingine za kudiscuss ni mume wangu mume wangu...mbona wao hawana time na nyie? ndo kama ivo wapo buusy kutafuta k mpya...mnaniboa...wanaume wenyewe hata akilini mwao hampo.... craaaap...jifunzeni hata jinsi ya kutengeneza shampoo za parachichi tuache kuagiza nje uchumi upande....

siyo kwamba hatuna kazi za kufanya thats big no na yawezekana tuko bize sana kuliko ako na pia juu kiuchumi kuliko wao ishu ni kwamba sisi ndio waumbaji katika familia, na pia huwa hatupend kitu ulichokiumba for years kipotee tu kirahisi. Ni ngumu mdogo wangu na hata utakapokuwa na mji wako utajua ninachokisema.
 
Mbona sisi hatuwatendi namna hii Dark City kila kukicha matukio kama haya kwa wanaume yanazidi whyyyyyyyyyyyyyyyyyyy kwa nini?

Sina hakika kama uko sahihi Egyps-women,

Kwa uzoefu wangu, wapo wanaume wengi pia (ingawa siyo sana kama wanaume) ambao wanakiona cha moto.....Kufa hawafi ila cha moto wanakiona!

Basically, ni kwamba mambo ya mapenzi hayana tofauti na mchezo wa kamari...wanaoucheza wanajiona ni wazima kabisa wakati sie tulioko nje tunawaona kama vichaa!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Smile usiseme hivyo haya ni maisha but as for me bwana akifika mahali he wants to marry aoe ila asilete nyumbani kwangu akapange nae huko aniache na wanagu tule bata. Ukimwendekeza utakufa uiwa mtoto bure. so far kwenye life mwanaume akisha kuchoka huna ins but dont ever quit wewe aondoke yeye aliyechoka. akuache wewe na wanao muendeleze maisha.

Only if you have the power to evict him....Most of men never think that they can, one day see the exit door way!

May be ndo mambo ya dotcom!!

babu DC!!
 
Copy that DC

But l can tangaza kuwa l am in love with Eiyer si ndio? Nausemea moyo wangu hapa. Na yeye akiusemea wa kwake si Okay???

Audience yako hiyo inayoitangazia ni akina nani?

Babu DC!!
 
Only if you have the power to evict him....Most of men never think that they can, one day see the exit door way!

May be ndo mambo ya dotcom!!

babu DC!!

siku hizi ndo tunavyosema akichoka aondioke yeye. Mwanamke akishaingia ndani hta kwa winch hatoki. thats our motto. tumechoka kunyanyasika. mbona wengi tu wanaondoka?
 
siyo kwamba hatuna kazi za kufanya thats big no na yawezekana tuko bize sana kuliko ako na pia juu kiuchumi kuliko wao ishu ni kwamba sisi ndio waumbaji katika familia, na pia huwa hatupend kitu ulichokiumba for years kipotee tu kirahisi. Ni ngumu mdogo wangu na hata utakapokuwa na mji wako utajua ninachokisema.
YAANI WAwamama mpo busy na hao wanaume wenu kwa waganga nyie .kila kitu hivi ulishawai kuona mwanaume anamtafutie mke wake libwata? si mtulie jamani acheni mapenzi ya kweli na busara ziongoze ndoa zenu....kuna wamama huwa wanakuja saluni kwa shost wangu kuangalia muvie za x eti wanatafuta style za wiki za kuwapagawisha waume zao..mmoja anadai kuna style hazipendi but inabidi tu avumilie eti mtafake hadi lini?
 
siku hizi ndo tunavyosema akichoka aondioke yeye. Mwanamke akishaingia ndani hta kwa winch hatoki. thats our motto. tumechoka kunyanyasika. mbona wengi tu wanaondoka?

I wish wajukuu zangu wote wangekuwa na mtazamo kama wako...Ila kwa bahati wengi wanarudi hapa kwa babu kila siku wamechanganyikia na hawajui la kufanya!!

Nadhani kama mmefika hapo basi mambo ya nchi za Scandinavia hayako mbali...Hao vidume wanaojifanya wajanja wakae mkao wakutupiwa viroba vyao kwenye mifuko ya rambo!!

Babu DC!!
 
Nilishawahi kusema hapa wakati fulani kwamba wanawake wengi wanaumia kwenye ndoa kwa sababu ya kuwasifu waume zao kwa mashoga kupita kiasi, si vibaya kumsifia mumeo kwa mashoga lakini pale yanapotokea mabadiliko kama haya usione aibu kusema umeshindwa na kuangalia mustakabali wako upya, kila mtu ameoa au kuolewa kwa utashi wake na hamna sababu ya mahusiano yenu au ndoa yenu kushikiliwa na majirani, marafiki au ndugu, kama yamekushinda bwaga manyanga anza maisha mapya, mambo ya kuanza kuwaza eti,...... "hivi majirani, ndugu au marafiki watanionaje?" yamepitwa na wakati, ndoa ni yako na sio ya kwao, anayeumia ni wewe na wala sio wao, na kama wakikuzodoa kwa kukusimanga wakikwambia ........ "kiko wapi ulichokuwa ukiringia...." Wao haiwahusu kwani wao wana maisha yao na wewe una maisha yako, kama alikuwa na tabia nzuri ni wakati ule,.......... Sasa kama amebadilika na kuwa na tabia za kiasherati wewe ufanye nini.......? Mtu hukuzaliwa naye tumbo moja, amelelewa kwao na wewe umelelewa kwenu, mmekutana ukubwani, kisa cha kutoana roho kwa sononi na msongo wa mawazo ni nini....!?
Kila mtu anaweza kuchukua ustaarabu wake kwani huo sio mwisho wa maisha.... na maisha ni popote, hata kama ukisemwa au kusengenywa na mashoga thamani yako iko pale pale wala haiondoki, ni wewe tu unayeweza kuiondoa kwa kujishusha na kujiona dhalili mbele ya binadamu wenzio..............

maneno mazima kabisa
 
YAANI WAwamama mpo busy na hao wanaume wenu kwa waganga nyie .kila kitu hivi ulishawai kuona mwanaume anamtafutie mke wake libwata? si mtulie jamani acheni mapenzi ya kweli na busara ziongoze ndoa zenu....kuna wamama huwa wanakuja saluni kwa shost wangu kuangalia muvie za x eti wanatafuta style za wiki za kuwapagawisha waume zao..mmoja anadai kuna style hazipendi but inabidi tu avumilie eti mtafake hadi lini?

Naanza kukuelewa na kukupenda Smile...lol!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom