mdada kanasa kwa jambazi.......

naona humtakii mema shosti wangu.

Yeye ndio hajitakii mema kwani alitakiwa akimbie the moment amejua ukweli.....ukitafakari vyema utaona kwamba hizo habari kuwa hajawahi kuua ni kumpoza tu...na hizo story za mawifi zake kuwa jamaa kabadilika ni uongo mtupu...
 
Uzuri wenyewe 40% na umri ushaambaa pana ushauri tena hapo! :p

Jokes aside, afanye haraka aondokane nae ila kwa step. Maana ndo jambazi tena lisije kumdhuru
mkaka mwenyewe ni mpole na hana papara (kama vile amesomaga seminary schools)
mnanipa wakati mgumu kumwambia amwache mpenzi wake nitaanzaje????
 
Yeye ndio hajitakii mema kwani alitakiwa akimbie the moment amejua ukweli.....ukitafakari vyema utaona kwamba hizo habari kuwa hajawahi kuua ni kumpoza tu...na hizo story za mawifi zake kuwa jamaa kabadilika ni uongo mtupu...
hao mawifi hawajui kama kaka yao ni mtu wa chuma/jambazi.
jamani wadada tunapenda vibaya
 
hao mawifi hawajui kama kaka yao ni mtu wa chuma/jambazi.
jamani wadada tunapenda vibaya

Hebu mwambie aumize kichwa kidogo...ana uhakika gani wifi zake hawajui 'kazi' ya kaka yao...je kama wanamchezea shere?
Hapo uliposema mnapenda vibaya nakubaliana nawe...mnapenda hadi matumizi ya ubongo yanasitishwa....
 
Hata yhy atakua jambazi coz anafuga jambazi kama yy ni mstaarabu akaripoti polisi
 
@arusha,baba mngoni ,mama mchagga.


kagundua kuwa bf wake ni jambazi, baada ya kuiona bastola yake akamuuliza kwa upole bf akakubali ila akamuahidi anaitaji matukio matatu tu ila aachane na ujambazi.Anadai anataka mtaji wa kufungua duka la kuuza pikipiki za mchina hapa Arusha .Akadai strictly hajawai kuuwa na yuko makini hawezi kunaswa na akinaswa ana uhakika wa kutolewa.

Mdada kashampenda sana jamaa na anadai amewahi kuwa na mahusiano na wanne wote walimuacha ndani ya miezi isozidi sita ila huyu ndiye aliyedumu naye mwaka na nusu na mkaka kashamtambulisha kwao,mawifi zake (to be) wanampenda sana na always humwambia tunashukuru as now days kaka yetu yuko fucused anaijali familia, mipombe kapunguza, anaiheshimu kazi yake (tour guide),



Confidential: Mdada mwenyewe analipa (uzuri) kwa 40% na umri umesogea na jamaa yuko presentable 70%

Huyo mdada wala asimwache huyo bf kwa sababu ni jambazi, kitaalam (in criminology) huyo dada ana uwezo wa kumshawishi huyo bf wake kuacha ujambazi na akaacha tofauti na mtu mwingine yeyote.
 
Hiyo 40% katoa jambazi au ww ? This whole thing doesn't sound right !!

Uzuri kwa 40% manake halipi sana kwa hiyo lazima akomae na anayemkaribia.
Anahofia umri na figure yake vitamkosesha mume na kashampenda huyu jambazi.
 
Nampa pole, siku akiliacha hilo jambazi lazima limdhuru let alone kumkiri!! "UMEJUA SIRI ZANGU LAZIMA UFE" hii ndo itakuwa kauli ya huyo jambazi!!!!!
 
Back
Top Bottom