Mdada anahitajika haraka

Status
Not open for further replies.

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
Awe mkazi wa dar es salaam.
Offic iko magomeni mapipa.
Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.
SIFA:
1.Awe mwenye kujipenda
2.Elimu form six or four
3.Anajua kingereza
4.Anajua kujieleza vizuri
5.umri kuanzia miaka 18-24.
6.mrembo na mwenye kujienda

KAZI
1.kutunza office
2.kupokea simu
3.kupokea wageni
4.kuweka taarifa kwenye computer,kutuma emails na kupokea.

NB kama hajui computer atafundishwa bure.

MAWASILIANO:
Phone:0713-810857
E-mail: imamu.njama@yahoo.com
 
anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
Awe mkazi wa dar es salaam.
Offic iko magomeni mapipa.
Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.
Sifa:
1.awe mwenye kujipenda
2.elimu form six or four
3.anajua kingereza
4.anajua kujieleza vizuri
5.umri kuanzia miaka 18-24.
6.mrembo na mwenye kujienda

kazi
1.kutunza office
2.kupokea simu
3.kupokea wageni
4.kuweka taarifa kwenye computer,kutuma emails na kupokea.

Nb kama hajui computer atafundishwa bure.

Mawasiliano:
Phone:0713-810857
e-mail: imamu.njama@yahoo.com

mashaka matupu!
 
boss unatumia mtandao wa tigo,email haieleweki,ningekupa mdogo wangu ana hizo sifa,ila hapo kwenye sijui IMMAM NJAMA
hapana mkuu!!
 
Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
Awe mkazi wa dar es salaam.
Offic iko magomeni mapipa.
Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.
SIFA:
1.Awe mwenye kujipenda
2.Elimu form six or four
3.Anajua kingereza
4.Anajua kujieleza vizuri
5.umri kuanzia miaka 18-24.
6.mrembo na mwenye kujienda

KAZI
1.kutunza office
2.kupokea simu
3.kupokea wageni
4.kuweka taarifa kwenye computer,kutuma emails na kupokea.

NB kama hajui computer atafundishwa bure.

MAWASILIANO:
Phone:0713-810857
E-mail: imamu.njama@yahoo.com
gheto gani?
 
Vipi kwa hicho kigezo cha "kupanda gari moja". Mimi ambaye nina gari langu napanda nyumbani mpaka hapo magomeni bila kubadilisha nitafikiriwa? Au labda sielewi maana ya kupanda gari moja!
 
Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
Awe mkazi wa dar es salaam.
Offic iko magomeni mapipa.
Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.

Ninaye mdogo wangu lakini hili sharti limemwondoa kwenye kinyang'anyiro !!! Mashati mengine kama ya waganga wa kienyeji vile, unatakiwa kuweka mashrti kwenye muda wa kufika na kuondoka ofisini na sio aina ya usafiri. Je, kama ana usafiri wake na anakaa Mabwe Pande inakuwaje, maana bado atapanda gari moja. Au hana usafiri, anakaa Ubungo Riverside anapaswa kufika Ubungo kwanza, halafu apande magari ya Posta au Kariakoo via Magomeni.
 
Vipi kwa hicho kigezo cha "kupanda gari moja". Mimi ambaye nina gari langu napanda nyumbani mpaka hapo magomeni bila kubadilisha nitafikiriwa? Au labda sielewi maana ya kupanda gari moja!

Mkuu yaani, mashati mengine kama ya waganga wa kienyeji vile, unatakiwa kuweka mashrti kwenye muda wa kufika na kuondoka ofisini na sio aina ya usafiri. Je, kama ana usafiri wake na anakaa Mabwe Pande inakuwaje, maana bado atapanda gari moja bila kubadilisha au anakaa Mtoni Kijichi na ana ndugu yake anayempatia lift Kariakoo. Au hana usafiri, anakaa Ubungo Riverside anapaswa kufika Ubungo kwanza, halafu apande magari ya Posta au Kariakoo via Magomeni.
 
Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
Awe mkazi wa dar es salaam.
Offic iko magomeni mapipa.
Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.
SIFA:
1.Awe mwenye kujipenda
2.Elimu form six or four
3.Anajua kingereza
4.Anajua kujieleza vizuri
5.umri kuanzia miaka 18-24.
6.mrembo na mwenye kujienda

KAZI
1.kutunza office
2.kupokea simu
3.kupokea wageni
4.kuweka taarifa kwenye computer,kutuma emails na kupokea.

NB kama hajui computer atafundishwa bure.

MAWASILIANO:
Phone:0713-810857
E-mail: imamu.njama@yahoo.com

Sifa nyingine utadhani anatafutwa mke.
 
Mi napita tu hapa! Ila hiyo kazi nina mashaka nayo. Au mkuu unatafuta mke kijanja?
 
kwan hao dada zenu hamuwaamini jaman, kama akienda huko akatoa huduma nyingine tofauti na ajira huyo atakua kapenda mwenyewe
 
Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
Awe mkazi wa dar es salaam.
Offic iko magomeni mapipa.
Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.
SIFA:
1.Awe mwenye kujipenda
2.Elimu form six or four
3.Anajua kingereza
4.Anajua kujieleza vizuri
5.umri kuanzia miaka 18-24.
6.mrembo na mwenye kujienda

KAZI
1.kutunza office
2.kupokea simu
3.kupokea wageni
4.kuweka taarifa kwenye computer,kutuma emails na kupokea.

NB kama hajui computer atafundishwa bure.

MAWASILIANO:
Phone:0713-810857
E-mail: imamu.njama@yahoo.com

WANAJF....SIKU HIZI KUNA NJIA NYINGI ZA KUTAFUTA WACHUMBA.......WAZULI....:flypig:
 
Anahitajika dada mwenye elimu ya form iv an vi.
Awe mkazi wa dar es salaam.
Offic iko magomeni mapipa.
Awe anapanda gani moja kufika hapo au hapandi kabisa gari.
SIFA:
1.Awe mwenye kujipenda
2.Elimu form six or four
3.Anajua kingereza
4.Anajua kujieleza vizuri
5.umri kuanzia miaka 18-24.
6.mrembo na mwenye kujienda

KAZI
1.kutunza office
2.kupokea simu
3.kupokea wageni
4.kuweka taarifa kwenye computer,kutuma emails na kupokea.

NB kama hajui computer atafundishwa bure.

MAWASILIANO:
Phone:0713-810857
E-mail: imamu.njama@yahoo.com

Ni dhahiri hutafuti mtu wa mwenye bidii na uzoefu wa kufanya kazi ofisini bali unatafuta mwanamke ambae utamtumia kama sex object kuvutia wateja katika biashara yako, vyenginevyo sioni sababu ya kurudia sharti la uzuri mara mbili
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom