Mda muafaka tendo la ndoa ni upi?

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,266
4,716
Siku moja usiku nikiwa baa nilimsikia mtu mmoja akiwaaga wenzi kuwa anatakiwa afike nyumbani mapema kwani walishakubaliana na mwenza wake kuwa mda muafaka wa tendo la ndoa ni kabla ya kulala. Wenzie walimweleza kuwa wao wanapendelea bao la alfajiri. Naomba maoni yenu. Najua wale members wa inf hupendelea mchana (hasa lunch time) zaidi ili mwenye mali asishtuke..............
 
Hakuna muda muafaka wakati wowote ule ni wakati wa tendo hilo kutegemea nafasi yenu hata ikiwa saa sita za mchana.
 
Anytime its tea tyme. As long as you feel like drinking and the weather & environment allows you to..........
 
Anytime is tea time

Mchana poa sana. Kitu inakuwa ya motooooooooooooooo!

Ukizamisha machine, ukichomoa unaona jogoo kajaa kitu kama maziwa hivi. Mimi huwa napagawa sana nikionaga yale maziwa. Asikwambie mtu ile kitu huwa poa kama unaona kuliko kupiga gizani.
 
anytime u feel like doing iy just do there is no specific formula its the matter of feelings
 
Yapo mambo matatu ya kuzingatia kabla hujatoa ushauri kuhusu jambo hili,kwanza tabia za wana ndoa,pili majukumu yao na tatu umri.
Kama wanandoa ni walokole then muda muafaka ni pale wanapotaka kulala maana muda wote wapo pamoja.
Kama wana ndoa ni walevi au mmoja wao ni mlevi,then bao la asubhi linafaa zaid maana atakuwa pombe imepungua na atajua mahitaji ya mwenzake.
Kama wana ndoa wanaumri mkubwa na ni watumishi au mmoja wao anau muri mkubwa au mmoja wao ni mtumishi then bao la asubuhi haliwezekan maana litamchosha siku nzima kazini.
Otherwise kwa wale vijana muda wote ni muda wa chai!
 
wana jf, maoni yote nimeyapenda, ila ya kanyasu ni zaidi: big up kanyasu. R u a sexologist?
 
Mnapojisikia mkuu, inakera mno pale unataka demu anakwambia eti sijajiandaa! aaahh! kwani unaiachaga nyumbani?!
 
any time ukiwa na nafasi na hamu pia...mazingira nayo yanachangia kuongeza hamu...
 
Anytime its tea tyme. As long as you feel like drinking and the weather & environment allows you to..........

Hii nimeipenda, ni halisi zaidi
 
Mnapojisikia mkuu, inakera mno pale unataka demu anakwambia eti sijajiandaa! aaahh! kwani unaiachaga nyumbani?!

Duh wewe ni either hujaoa au unapiga nje cup.....!!

Umeulizwa muda muafaka wa kufanya TENDO LA NDOA sio wa kufanya ngono au zinaa!!
 
jumatatu ya kwanza ya mwezi na ijumaa ya mwisho ya nwezi ndo muda muafaka wa tendo la ndoa!!
manake maswali mengine jaman...mh mh hatari .hahahah!!
enzi ziiiiiiiiiiile za zaman mjumbe wa nyumba kumi ndo alikuwa na filimbi bas ikifika usiku wa saa 6 anapiga filimbi basi wanandoa waooooote wanaamka wanakula tunda then wanalala tena ...sasa ole wako usiamke mkeo kesho anapeleka kes kwa mjumbe na mjumbe pia afany ajizi....!
mi nishawai kumpeleka babu yenu sasa sjui vijana wa siklu izi mwatendaje jambo ili ..mkitaka wakat wowote vbaya kuonana aya mkitaka kuweka time tebo mchagon poa ,,ni nyinyi tu lakin sisi zaman muda muafaka na siku muafaka alikuwa anaijua mjuimbe!!!!!...ili tupate kwenda kwenyhe shughuli za maendeleo vizuri bila kutegea!!!
 
mama fulani leo si siku ya kudo?, baba fulani mwenzio sijisikii mwezi huu subiri mwezi ujao. Haya mama fulani :frusty:
 
ewaaaaaaaaaa!!!!!!gud!! ur gud student ..unaelewa haraka saaaana!
mambo ndo inabidi yafanywe km ivo!!!
au unapeleka dokezo 3days b4!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom