mchungaji wa kiume afumwa akimuogesha mke watu

Duuh ujinga huu usinikute...utakuta kawaambiwa anasafishwa nyota. Damn it!
 
View attachment 50122mchungaji amefumwa akimuogesha mke wa watu nchini ghana,mchungaji anadai alikuwa anamtakasa na alimuogesha kwa maji ya baraka,mchungaji uyo alipigwa hii picha kwa siri,cha ajabu anaogesha wake za watu wakiwa uchi,wanaume aogeshi

huyu lazma anamambo yake pembeni

hii ndio matokeo ya waumini kuwaamin sana wachungaji wao,ni ujinga tu

hii maneno ya kutakasa hata bongo ipo! Amnamkumbuka yule mke wa wakili aliyegongwa na 'nabii'!?

wanawake ndio waathirika wakubwa wa mambo hayo, nimeshaangaa sana kusikia huko melelerani mchungaji anapiga watu kisa hataki sadaka kiduchu. Haki ya nani utakuta waliopigwa hapo ni wamama na mabinti, kama kuna kaka au baba alikubali kupigwa nampa pole sana.

Walitakiwa wampe fundisho huyo mchungaji feki, hadi popote atakapo ona kasinisa anabadilinjia.

Makanisa ndio kimekiwa kichaka cha wezi, wauza unga na mafisadi

zama za mwisho na vituko vyake.

makanisa oyeeee. Yesu oyeeee.


ushirikina mtupu, hakuna cha mchungaji wala kondoo hapo.

duh hapo kinachofuata sikupeana mambo tu....

i envy these people.....
They get women for free
na sadaka juu.......
Ni kama rock stars hivi lol

duh na hayo makatani ni ya nini??

Na bado, mchungaji mwakipesile amekwisha oteshwa huko. Mungu anazidi kuongea nae. Sasa kazi kwenu. Mitume, wachungaji na manabii wanaongezeka, na mungu siku hizi anongea nao wote.

Mchungaji kibwetere, alifanikiwa kuwachoma moto wajinga wote, sasa asie na macho haambiwa tazama. Asie na akili huitwa chizi. CHUKUENI TAHADHARI, MSISHIKIWE AKILI JAMANI.
 
Bibilia yenyewe inaonya wakristo kujitahadhali na manabii wa uongo imeandikwa pia "tumia akili zako vizuri angalia usije ukatenda dhambi"
Sasa hapa ni nani wakulaumiwa wakiwa wote ni watu wazima?
 
mh! Mbona padri mwenyewe ni body builder afu ana cheni shingoni!? Vi2 vingine haviitaji shule physically can be judged
 
Uka*********firi aka upagani ndani ya kanisa la mungu ye$$$$$$$$$uuuuu

Okoka okoka yy ndio njia
 
Haya ndo madhara ya watu kukumbilia ishara/miujiza na kuacha kufuata neno la Mungu
 
Back
Top Bottom