mchungaji wa kiume afumwa akimuogesha mke watu

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
caught.jpg12.jpg mchungaji amefumwa akimuogesha mke wa watu nchini ghana,mchungaji anadai alikuwa anamtakasa na alimuogesha kwa maji ya baraka,mchungaji uyo alipigwa hii picha kwa siri,cha ajabu anaogesha wake za watu wakiwa uchi,wanaume aogeshi
 
Hii maneno ya kutakasa hata bongo ipo! aMnamkumbuka yule mke wa wakili aliyegongwa na 'nabii'!?
 
Dunia ina mambo, hao wanawake Mungu kawapa utashi wanashindwa kugundua wanapodanganywa?
 
wanawake ndio waathirika wakubwa wa mambo hayo, Nimeshaangaa sana kusikia huko melelerani mchungaji anapiga watu kisa hataki sadaka kiduchu. Haki ya nani utakuta waliopigwa hapo ni wamama na mabinti, kama kuna kaka au baba alikubali kupigwa nampa pole sana.

Walitakiwa wampe fundisho huyo mchungaji feki, hadi popote atakapo ona kasinisa anabadilinjia.

Makanisa ndio kimekiwa kichaka cha wezi, wauza unga na mafisadi
 
Back
Top Bottom