Mchungaji wa CUF? Seriously tunahitaji majibu toka CUF!

Status
Not open for further replies.
unaruhusiwa kusoma ulicho quote kwanza kabla ya kukimbilia.Angalia status yako hapa JF(verified user) sijui senior expert etc.kma husomi between line kuna shida.Mimi sijaongelea kuhusu mchungaji kuwa mwana CUF. Ila behaviour yake tangu alipodanda jukwaani, na jinsi alivyosali.

Kama vile umekuja kwa kunipania.Nadhani ungeweza saidia toa majibu logical kwa cuf
Mkuu mimi sina tatizo na wewe hata kidogo na najielewa vizuri isipokuwa unanishangaza sana na hili neno Mchungaji kwani lina maana gani zaidi ya Preacher. Nachambua maneno yako kwa sababu unajitambulisha kama mwana Chadema na sipendi maoni yako kwa kutumia jina la chama hayapendezi na kumradhi sana.

Mtu yeyote anaweza kuwa mchungaji na ktk dhehebu lolote la Kikristu sio lazima utamaduni wa dhehebu moja kutafsiri uwezo wa mtu kuwa mchungaji..waislaam whitwa Maalim au mwalimu na jina jingine ndiye mchungaji na unaweza kabisa kumwita Maalim mchungaji kwa kiswahili na haishangazi mafundisho yake ama wakati wa kuogoza dua/sala. Hutaki unaacha mkuu wangu shida yako nini kuhuyu mchungaji kuwepo CUF yaani usiyaseme yote ya kisiasa isipokuwa mchungaji- Huu ndio UDINI.....
 
-Haha..kwanza mimi hata kadi sina kwa hiyo si mwanachama wa CDM.Ila nachukia bogus claims and plots.

-Kwa vile hujasoma nilichoandika na hutaki kusoma hutaweza elewa daima. labda tuu nikuambie wether unaita preacher/pastor/reverend/ ila .Yule mchungaji wa CUF leo tangu mwanzo alipoanza hadi kuondoka hakufit katika dhehebu lolote la Kikristu.Na beahaviour ya wana CUF inatoa sura kabisa jinsi gani yule hakuwa mtu serious kama alivyoonekana mwenyewe.Mengine akili yako itumike.

-Nadhani wewe ndio kama hutaki uache kwani mimi ndei niulizae maswali na si mimi mwenye niliyenotice hilo.Kuna mtu mwingine alishangaa jinsi CUF hawakupay attention , waliopay attention walikuwa wakicheka tuu na kupiga makelele.Labda kama wewe ni CUF utupe theory mbadala .Tuambie kama nikukosa adabu kwa CUF au lah..kwani hata walivyokuwa wakiongea kuhusu CDM hayakuwa kweli wala hayakuongewa kwa lugha ya kuonyesha kuwa wapo serious kuomba kura zetu.
 
Sawa mkuu basi usijifanye sana unakijua Chadema wakati huna hata kadi. tumalize hakuna sababu ya kuendelea kubishana hakuna tija.
 
Nadhani sasa upishe CUF wajibu habari yao hapa.Hapa wewe ndio mbishi.Kama hujui hoja ni yule pasta wewe unaleta chadema .Ni vipi nitakuelewesha kuwa kutokuwa na kadi si kutojua chama?Chadema si alien party kiasi cha kukufanya uanze elezea kama vile unamwaga theory of relativity.Chadema wenyewe wanafanya kazi kubwa sana kueneza habari.Nadhani unaweza kwenda wadanganya CCM kwani ndio wajng akabisa kuhusu CDM kiasi cha kufanya mtu yeyote anaweza wadanganya huku wakiwa wameshika ilani za CDM,na wakiwa na ndani ya eneo CDM wanafanya mkutano.Yet wakambiwa CDM wanafanya fujo, CDM ni cha Ukanda, ni cha kikabila.

Nimeshawaambia distraction ni very primitive trick ambayo hata wanyama/ndege hutumia na you will never match their efficiency.Sijui inakusaidia nini itumia hapa?
 
Nadhani sasa upishe CUF wajibu habari yao hapa.Hapa wewe ndio mbishi.Kama hujui hoja ni yule pasta wewe unaleta chadema .Ni vipi nitakuelewesha kuwa kutokuwa na kadi si kutojua chama?Chadema si aline party kiasi cha kukufanya uanze elezea kama vile unamwaga theory of relativity.Chadema wenyewe wanafanya kazi kubwa sana kueneza habari.Nadhani unaweza kwenda wadanganya CCM kwani ndio wajng akabisa kuhusu CDM kiasi cha kufanya mtu yeyote anaweza wadanganya huku wakiwa wameshika ilani za CDM,na wakiwa na ndani ya eneo CDM wanafanya mkutano.Yet wakambiwa CDM wanafanya fujo, CDM ni cha Ukanda, ni cha kikabila.

Nimeshawaambia distraction ni very primitive trick ambayo hata wanyama/ndege hutumia.Sijui inakusaidia nini hapa?
Sawa mkuu endelea..
 
Kwa hiyo huamini kwamba mchungaji anaweza kuwa mwana CUF?.. isipokuwa anaweza kuwa chama gani?... Hivi kweli ndio uwezo wako wa kufikiri yaani mchungaji hawezi kuwa CUF kukaribishwa CUF halafu unasema watu wengine wana Udini sio wewe...
Mkuu wameita mchungaji na hapo hapo wakasema waislam wajiunge na cuf halafu bado inamake sense kusema kwamba haikuwa dhihaka?Kwahiyo cuf walimkaribisha mchungaji wa nini na wamesema wanataka waislam wote ndo wajiunge na cuf kwasababu ya propaganda zao dhidi ya chadema?daah!
 
Kama nia ya kumwita huyo mchungaji ilikuwa nia njema,basi wangesema hata wakristo wajiunge na cuf.

Sasa kama chadema wangefanya mkutano,wamwalike sheick,halafu waseme wakristo wote wajiunge na chadema,basi sijui hata kama kungekalika.
 
CUF wameonyesha weaknesses nyingi sana.Na mbaya mengi ya yale watu waliyoambiwa juu yao yameonekana wazi.Ila mimi nilitaka wajibu issue ya mchungaji kwani kuna serious things to discuss.Hapa CUF wamefanya mambo kama watoto wadogo.Achilia mbali kujibu kama kweli alikuwa credible pastor. Nikisummarize alichosema prof katika kugawa hela ni kama yule msanii katika wimbo fulani wa bongo fleva "bora nchi iuzwe kila mtu apewe chake".Yaani haamini katika functions za state na responsibiities zake.

Zadi walichoweza nikelele nyingi na kujiaminisha kuwa wamekuja tena kwa nguvu mpya.Sijui hata kama watabaki na watu Hamad Rashid akija chukua wake.
 
Kama nia ya kumwita huyo mchungaji ilikuwa nia njema,basi wangesema hata wakristo wajiunge na cuf.

Sasa kama chadema wangefanya mkutano,wamwalike sheick,halafu waseme wakristo wote wajiunge na chadema,basi sijui hata kama kungekalika.

hao jamaa mbali na maigizo kama ze comedy,pia wamajidhihaki wao pamoja na jumuia ya wakristu.CUF wameamua kufanya vioja badala ya kukaza backbone na kuwa watu wazima.Sijui kama si kuzitaja degree za Lipumba sijui kama kuna mtu angeweza watofautisha kati yao.

Kauli zilipingana katika vinywa vyao palepale.Walikuwa too naive.
 
Mkuu wameita mchungaji na hapo hapo wakasema waislam wajiunge na cuf halafu bado inamake sense kusema kwamba haikuwa dhihaka?Kwahiyo cuf walimkaribisha mchungaji wa nini na wamesema wanataka waislam wote ndo wajiunge na cuf kwasababu ya propaganda zao dhidi ya chadema?daah!
Sasa labda nikuulize ikiwa wewe mchungaji umealikwa kufungua mkutano wa wana CUF utataka kwanza ujue sera zao dhidi ya wakristu?.. au unaongoza dua kisha kuwaombea kwa mola au hujui Dhamana kubwa wanayoibeba wachungaji. Mkuu wangu Ukristu umekuja kwa wale tusioamini na mahubiri ya mchungaji yana thawabu kubwa kwa wale wasioamini kuliko wewe unayeamini maana unaweza kujiombea mwenyewe na tayari umeshasalimika au sio?.

Waliyoyasema CUF ni kazi yao, wewe umeelewa hivyo na waache watakiona cha moto kama itakula kwao kwa sababu CUF wameisha fahamu kwamba kazi yao kubwa ilobakia ni kuwaondoa Waislaam wote ktk kukichagua Chadema na nyie hapa mnawasaidia sana waislaam kuamini maneno ya CUF kuwa ndivyo Chadema nmnavyo watazama Waislaam. na I hate to say that inanishawishi hata mimi kufikiria hivyo kama sii ugumu wangu tu. sasa fikiria Muislaam wa Dar, Tanga, Liindi, Mtwara, Bukoba, Songea, na mikoa mingineyo wataweza vipi kuchambua kuwa haya ni mawazo ya mtu mmoja mmoja tu na sii mawazo ya chama..
 
mbona unataka solicit for acceptance?Hakuna mchungaji anayekwenda hata kwa mkristu bila kutaka jua mambo ya msingi.Na hiii si kwa wachungaji tuu hata wanasiasa hupitia habari za msingi kuhusu host, mkutano husika na walengwa.Tena kwa marais wa US huwa hata hotuba hukariri ili wasipoteze maneno ya msingi kabisa ambayo hayata compromise mambo vyeti.

Sasa kama huamini na unajua hilo kwanini usiamini?Usipoteze muda msafisha pastror kwani wanaohitajika jibu hapa ni CUF.

Unatia huruma sana hapa.sounds kama "...niangusage, zambi si zako..".Pole sana mheshimiwa.Pasipo simama katk ukweli balaa litarudi mbeleni.kwanini unakuwa strict kwa CDM ila loose kwa CUF kwenye hili?

Sidhani kama waislam wote watawasikiliza CUF. CUF wapo too vulnerable katika movements zao.Kumbuka waliwahi ongea vizuri kuhusu amani, huku wafuasi na viongozi wao wakiwa na sera za "ngangari" wakatajwa kumchapa waandishi majibu yao hayakuwa mazuri sana,wakasusiwa na media.

Sasa unataka tuamini kuwa yasemwayo kwa cdm ni kweli ila yasemwayo kuhusu CUF si kitu.usipende tudanganya hapa.CUF have nothing to loose as they are already loosers.Wanachojaribu hapa na wewe ukiwasaidia ni kubana wafuasi wake katika kundi la waislam,huku wakitaka kuchukua waislam waliopo CDM kwa udini.Something unachoona kuwa OK kwa vile ndio kazi yako.Lakini kwanini CUF wawe this low in ethics?

Hembu kuwa mtu mzima hapa,habari za kubrainwash watu hapa, habari za kutongoza watu wakubali upotoshaji wako, kujifanya kuwa ni personaa opinion, kuwa mkali na kuweka dharau kwa watu kuwa wamefika mwisho wa fikra ni mbinu za kulazimisha hoja zako.The way unalazimisha hoja zako na kuwa vey illusive ni wazi kuwa wewe si mwana CDM.kama unayo mawazo kwanini usiwape CDM directly hadi ubwabwaje hapa.

Naomba wapishe CUF wajibu haya.
 
Ndo maana maendeleo yetu bongo yatabaki kusikika hadi tufe, tumeweka mbele usanii na tumekuwa waoga wa kuukabili ukweli, karibia kila raia,kiongozi wa serikali,viongozi wa dini, wanasiasa,watendaji mbalimbali ni wasanii,walaghai, aidha kwa kuwa na upeo mdogo ambao haukidhi haja au kwa kupenda short cut ya mambo!!, hatufiki kwa mtindo huu
 
mbona unataka solicit for acceptance?Hakuna mchungaji anayekwenda hata kwa mkristu bila kutaka jua mambo ya msingi.Na hiii si kwa wachungaji tuu hata wanasiasa hupitia habari za msingi kuhusu host, mkutano husika na walengwa.Tena kwa marais wa US huwa hata hotuba hukariri ili wasipoteze maneno ya msingi kabisa ambayo hayata compromise mambo vyeti.

Sasa kama huamini na unajua hilo kwanini usiamini?Usipoteze muda msafisha pastror kwani wanaohitajika jibu hapa ni CUF.

Unatia huruma sana hapa.sounds kama "...niangusage, zambi si zako..".Pole sana mheshimiwa.Pasipo simama katk ukweli balaa litarudi mbeleni.kwanini unakuwa strict kwa CDM ila loose kwa CUF kwenye hili?

Sidhani kama waislam wote watawasikiliza CUF. CUF wapo too vulnerable katika movements zao.Kumbuka waliwahi ongea vizuri kuhusu amani, huku wafuasi na viongozi wao wakiwa na sera za "ngangari" wakatajwa kumchapa waandishi majibu yao hayakuwa mazuri sana,wakasusiwa na media.

Sasa unataka tuamini kuwa yasemwayo kwa cdm ni kweli ila yasemwayo kuhusu CUF si kitu.usipende tudanganya hapa.CUF have nothing to loose as they are already loosers.Wanachojaribu hapa na wewe ukiwasaidia ni kubana wafuasi wake katika kundi la waislam,huku wakitaka kuchukua waislam waliopo CDM kwa udini.Something unachoona kuwa OK kwa vile ndio kazi yako.Lakini kwanini CUF wawe this low in ethics?

Hembu kuwa mtu mzima hapa,habari za kubrainwash watu hapa, habari za kutongoza watu wakubali upotoshaji wako, kujifanya kuwa ni personaa opinion, kuwa mkali na kuweka dharau kwa watu kuwa wamefika mwisho wa fikra ni mbinu za kulazimisha hoja zako.The way unalazimisha hoja zako na kuwa vey illusive ni wazi kuwa wewe si mwana CDM.kama unayo mawazo kwanini usiwape CDM directly hadi ubwabwaje hapa.

Naomba wapishe CUF wajibu haya.

Mkuu hebu achana naye huyo...naona umemshika kila kona, hana hoja bali viroja...mwisho wasiku naona hata yeye atajichanganya hapa nakuongea vituko.

Kwa kifupi umempa facts tatizo lake amekuwa kama yule mgonjwa anaye umwa hoi lakini hatakki kumeza dawa.
 
Haki sawa kwa wote, asietaka haki aende Moshi Kwa mtei, wewe mleta thread lete Hati miliki ya hiyo dini unayojipa mamlaka ya kumtambua na kumthibitisha Mchungaji, hujui makanisa na madhehebu yanavyoibuka kila dakika? Pengine ni wa dhehebu jipya bado halijakufikia, Wajukuu wa Mtei Mchakamchaka CHINJA 2015 mpaka mrudi kwenu!
 
Yule mchungaji wa jana alikuwa ni 'kanjanja' kabisa. Hahahaha CUF janja sana!
 
mbona unataka solicit for acceptance?Hakuna mchungaji anayekwenda hata kwa mkristu bila kutaka jua mambo ya msingi.Na hiii si kwa wachungaji tuu hata wanasiasa hupitia habari za msingi kuhusu host, mkutano husika na walengwa.Tena kwa marais wa US huwa hata hotuba hukariri ili wasipoteze maneno ya msingi kabisa ambayo hayata compromise mambo vyeti.

Sasa kama huamini na unajua hilo kwanini usiamini?Usipoteze muda msafisha pastror kwani wanaohitajika jibu hapa ni CUF.

Unatia huruma sana hapa.sounds kama "...niangusage, zambi si zako..".Pole sana mheshimiwa.Pasipo simama katk ukweli balaa litarudi mbeleni.kwanini unakuwa strict kwa CDM ila loose kwa CUF kwenye hili?

Sidhani kama waislam wote watawasikiliza CUF. CUF wapo too vulnerable katika movements zao.Kumbuka waliwahi ongea vizuri kuhusu amani, huku wafuasi na viongozi wao wakiwa na sera za "ngangari" wakatajwa kumchapa waandishi majibu yao hayakuwa mazuri sana,wakasusiwa na media.

Sasa unataka tuamini kuwa yasemwayo kwa cdm ni kweli ila yasemwayo kuhusu CUF si kitu.usipende tudanganya hapa.CUF have nothing to loose as they are already loosers.Wanachojaribu hapa na wewe ukiwasaidia ni kubana wafuasi wake katika kundi la waislam,huku wakitaka kuchukua waislam waliopo CDM kwa udini.Something unachoona kuwa OK kwa vile ndio kazi yako.Lakini kwanini CUF wawe this low in ethics?

Hembu kuwa mtu mzima hapa,habari za kubrainwash watu hapa, habari za kutongoza watu wakubali upotoshaji wako, kujifanya kuwa ni personaa opinion, kuwa mkali na kuweka dharau kwa watu kuwa wamefika mwisho wa fikra ni mbinu za kulazimisha hoja zako.The way unalazimisha hoja zako na kuwa vey illusive ni wazi kuwa wewe si mwana CDM.kama unayo mawazo kwanini usiwape CDM directly hadi ubwabwaje hapa.

Naomba wapishe CUF wajibu haya.
huyo ndiyo mkandara na waislamu wenzake wa jf...ingekuwa chadema wamepeleka shehe wa ajabuajabu anayetoa dua kiislamu kimzahamzaha basi ungesikia moto wa mkandara na waislamu wenzake humu ndani...oooh chadema watoe tamko kuhusu hizi tuhuma, chadema wafanye hivi/vile nk
...yaani wenyewe wapo sensitive tu uislamu unapoguswa, lakini ukidhihakiwa ukristu wanaona hakuna tatizo lolote ndiyo maana unaweza kuona hata ile kauli ya kuwaambia waislamu wajiunge na cuf haikemewi na waislamu humu ila kama ikitokea hata habari ya udaku tu kwenye vigazeti uchwara ikiwahusisha cdm na kanisa hawa jamaa wanaanza kudai cdm itoe maelezo...huwa nawaangalia na kuwaonea huruma sana wanapowaita wengine wadini...
 
mbona unataka solicit for acceptance?Hakuna mchungaji anayekwenda hata kwa mkristu bila kutaka jua mambo ya msingi.Na hiii si kwa wachungaji tuu hata wanasiasa hupitia habari za msingi kuhusu host, mkutano husika na walengwa.Tena kwa marais wa US huwa hata hotuba hukariri ili wasipoteze maneno ya msingi kabisa ambayo hayata compromise mambo vyeti.

Sasa kama huamini na unajua hilo kwanini usiamini?Usipoteze muda msafisha pastror kwani wanaohitajika jibu hapa ni CUF.

Unatia huruma sana hapa.sounds kama "...niangusage, zambi si zako..".Pole sana mheshimiwa.Pasipo simama katk ukweli balaa litarudi mbeleni.kwanini unakuwa strict kwa CDM ila loose kwa CUF kwenye hili?

Sidhani kama waislam wote watawasikiliza CUF. CUF wapo too vulnerable katika movements zao.Kumbuka waliwahi ongea vizuri kuhusu amani, huku wafuasi na viongozi wao wakiwa na sera za "ngangari" wakatajwa kumchapa waandishi majibu yao hayakuwa mazuri sana,wakasusiwa na media.

Sasa unataka tuamini kuwa yasemwayo kwa cdm ni kweli ila yasemwayo kuhusu CUF si kitu.usipende tudanganya hapa.CUF have nothing to loose as they are already loosers.Wanachojaribu hapa na wewe ukiwasaidia ni kubana wafuasi wake katika kundi la waislam,huku wakitaka kuchukua waislam waliopo CDM kwa udini.Something unachoona kuwa OK kwa vile ndio kazi yako.Lakini kwanini CUF wawe this low in ethics?

Hembu kuwa mtu mzima hapa,habari za kubrainwash watu hapa, habari za kutongoza watu wakubali upotoshaji wako, kujifanya kuwa ni personaa opinion, kuwa mkali na kuweka dharau kwa watu kuwa wamefika mwisho wa fikra ni mbinu za kulazimisha hoja zako.The way unalazimisha hoja zako na kuwa vey illusive ni wazi kuwa wewe si mwana CDM.kama unayo mawazo kwanini usiwape CDM directly hadi ubwabwaje hapa.

Naomba wapishe CUF wajibu haya.

mkuu nimemfuatilia kwa muda mrefu sana huyu mkandara madai yake ya kuwa cdm, lakini nimegundua kuwa ni unafiki tu ndo umemjaag. Si cdm kama anavyotaka tuamini ila yuko anti-cdm toka kitambo. Kwa hiyo sishangai kusoma koments kama hizi, akikwepa hoja ya msingi kwa majibu ya kinape na kiritz.
 
Haki sawa kwa wote, asietaka haki aende Moshi Kwa mtei, wewe mleta thread lete Hati miliki ya hiyo dini unayojipa mamlaka ya kumtambua na kumthibitisha Mchungaji, hujui makanisa na madhehebu yanavyoibuka kila dakika? Pengine ni wa dhehebu jipya bado halijakufikia, Wajukuu wa Mtei Mchakamchaka CHINJA 2015 mpaka mrudi kwenu!

Mtei anahusiana vipi na blunders za CUF?Si ndio mmetoka hivyo mnakwenda Ikulu?hau hamjui?hembu toeni maelezo ya huyo mchungaji wenu.Pengine atapata dili la shule ya bure kwa wale jamaa wa ATN.Next time asiwe kati ya catholics na wakristu wengine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom