Mchungaji wa CUF? Seriously tunahitaji majibu toka CUF!

Status
Not open for further replies.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Katika mkutano wa CUF leo mchungaji aliyesimama kufungua kwa ibada ameonyesha mapungufu mengi.

Ila mojawapo ni haya kwanza hajui tofauti ya madhehebu. Catholics hawana mchungaji, na hivyo mchungaji kufanya ishara ya Catholics ni shida kwa kanisa lake.

Pia alikuwa akionyesha tabasamu linaloweza tafsiriwa kuwa hakuwa serious au alikuwa akiigiza na hivyo na kusubiri muda wa kumaliza.

Muda wote kulikuwa na watu wakicheka wakati wa maombi ya ufunguzi, na "mchungaji" alipokuwa akishuka alipeana mikono na watu kwa staili inayoweza tafsiriwa kama pongezi kwa "umejitahidi igiza"

Mchungaji aliyesimama kaonyesha mambo yenye kuleta maswali haya:

-Je huyu hakuwa mchungaji feki?

-Na kama ni mchungaji kabisa ,basi atakuwa ni kanjanja na hivyo kuongeza swali. Kwanini CUF-wachague hiyo njia?

-Je CUF wana nia thabiti ya kuweka uwakilishi wa kidini wenye heshima katika maombi ya ufunguzi?

Ningependa sana CUF waje weka wazi hii habari.

Mods: Naomba msiitoe hii. It's serious.
 
Nimemwona kama vili muigizaji vile, hapo hapakuwa na mchungaji bali muigizaji kama vile "Mch. Ray" au Marehemu "Mch. Kanumba!" so naívè!
 
Nadhani kama angekuwa sio Mchungaji Mtatiro asingekubali.
 
Sio mkutano wa dini, hatuna haja ya kumjadili. Je wametoa sera ipi wewe mapepe Nicholaus
 
Nadhani kama angekuwa sio Mchungaji Mtatiro asingekubali.

Kwa akili yako unadhani mtatiro ni mwakilishi wa dini fulani. Yule anatafuta ulaji pale. Na usikute yeye ndio amesimamia upatikanaji wa mchungaji feki
 
Nadhani kama angekuwa sio Mchungaji Mtatiro asingekubali.

Ritz mzito kufikiri...hujui matatizo si msemaji w imani yoyote achilia mbali uelewa wake wa dini ,umakini wake wa misingi ya imani ya ukristu na jinsi navyoichukulia akilinganisha na maslahi.Pia ni kiumbe huru kubadili dini na kukaa kimya kwa muda mrefu.Vyote hivi vitu vinavyoondoa nafasi yake katik masuala ya Ukristu.

Yaani kusema kuwa mtatiro kukaa kimya ndio usahihi ,kwani waislam wenyewe huwa kupitishwa kitu na Bakwata si gurantee kuwa wataridhia kama kauli yao.
 
Sio mkutano wa dini, hatuna haja ya kumjadili. Je wametoa sera ipi wewe mapepe Nicholaus

Nadhani ..wakati unamalizia niita mapepe hambu fikiria .."...kauli mbiu ya leo ni haki kwa wote...", halafu soma main body ta thread uone kama dini si issue.

Pia ujue CUF km wamechukua mchungaji kimeo au feki tayari ni scandle on itslelf, yaani kukosa maadili, ni kudhalilisha si dini nyingine bali kudhalilisaha hata vyama vingine..ni slander.Slander ni kosa kubwa sana.

kama hujaona angalau haya basi nina mashaka na uhai wa taifa.
 
Kwa akili yako unadhani mtatiro ni mwakilishi wa dini fulani. Yule anatafuta ulaji pale. Na usikute yeye ndio amesimamia upatikanaji wa mchungaji feki

Mie si Shekh Yahaya wala mrithi wake, sio Mccm wala Mchadema wala si sina dini, ila nauhakika huyo kiumbe Mtatiro kabla ya 2015 atakuwa ndani ya Gwanda na wala si ndani ya Gamba au kwa wazee wa baragashea a.k.a pengo kwa pengo a.k.a ngengeri!
 
Kweli kabisa. Weka clip hapa ili tujadili kwa kina na usawa ili tuepuke majungu na hisia.
 
Nimemwona kama vili muigizaji vile, hapo hapakuwa na mchungaji bali muigizaji kama vile "Mch. Ray" au Marehemu "Mch. Kanumba!" so naívè!
halafu alikuwa amevaa skafu/unifomu ya CUF, kwa ujumla nilishindwa kumuelewa...angeonesha yuko neutral ningemuona wa maana...
 
Mkutano huo once again ni mbinu za mafisadi kuwagawa watanzania.Ndo maana kauli ya kusema waislam wote wajiunge na cuf iliyotolewa kwenye mkutano wa cuf inaonekana ni ya kawaida kwa viongozi wetu.Na hili la kumtumia huyo mchungaji kama dhihaka kwa imani za wengine siyo jambo la kufumbiwa macho.Kwasababu nina uhakika if it was the other way around kungechimbika na mafisadi wange capitalize on it.
 
Nadhani ..wakati unamalizia niita mapepe hambu fikiria .."...kauli mbiu ya leo ni haki kwa wote...", halafu soma main body ta thread uone kama dini si issue.

Pia ujue CUF km wamechukua mchungaji kimeo au feki tayari ni scandle on itslelf, yaani kukosa maadili, ni kudhalilisha si dini nyingine bali kudhalilisaha hata vyama vingine..ni slander.Slander ni kosa kubwa sana.

kama hujaona angalau haya basi nina mashaka na uhai wa taifa.

Jaribu tena baadae. Kalale kwanza.
 
halafu alikuwa amevaa skafu/unifomu ya CUF, kwa ujumla nilishindwa kumuelewa...angeonesha yuko neutral ningemuona wa maana...

Awe neutral kwenye mkutano wa siasa? Yaani kwamba kaalikwa tu akaombee mkutano na kuondoka ili awe neutral! Wangemuita Mch. Rwakatare labda.

Kama alikuwa ni ulamaa na kaamua kuudhihaki ukristo basi damu yake na iwe juu yake na hadi vizazi vyake vya saba. Mungu mwenye enzi ataupatiliza uzao wake kwa kuwa Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu; na wote tuseme amin.
 
Mkuu Ritz mtatiro ni mchungaji au ni kiongozi wa wachungaji!

Nimefikiria kama Mtatiro ni Mkiristo safi asingekubali kufanyiwa dhiaka ktk dini yake, basi kama kuna ushahidi kuwa ni Mchungaji fake basi wampeleke mahakamani.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom