Mchungaji Rwakatare amtaja Shetani kujitetea

Rwakatale anasema anashangaa hakupigiwa simu huo ni ubinafsi ni kwa nini Rwakatale hakupiga simu kuuliza kama fomu zake zimerudi tume ya maadali? Ni dalili ya kiongozi kutowajibika katika mambo ya msingi kitaifa. Kama mchungaji anafanya hivyo mbunge asimjua Mungu afanya nini?
 
Hivi ni nani alimrudisha Bungeni, kwa makubaliano yapi au ni nyumba ndogo yake?! Huyu mama ni fisadi wa kidini, nahisi atakua freemason
 
Mama apime mwenyewe kati ya huduma ya madhabahuni na Siasa kwani kuvimudu vyote kwa ufanisi haiwezekani,huwezi kuwatumikia mabwana wawili na akawatendea haki wote!(Si maneno yangu ni neno la Mungu)
 
Huwezi kuwatumikia mabwana wawili (SIASA na DINI) kwa wakati mmoja watakupasua msamba.
Huyu mama Rwakatare ni mjasiriamali kwa mgongo wa dini. Jiulize tangu lini born again wakaamini
mambo saint? hiyo ni imani ya wakatoliki. Lakini kwakuwa shule za St huwa zinafanya vizuri, ili kuvutia
wateja shule zake ameamua kuziita St Marys kinyume kabisa na imani yake.

No disrespect to women, lakini Yesu aliyafahamu haya yote ndiyo maana katika mitume wake 12
hakuwepo hata mwanamke mmoja! Sio kwamba Yesu hakuwaona wanawake enzi hizo.

Huyu Mama ni tapeli ndiyo maana alishindwa hata kumkemea Daktari mwenzake feki (MB) Dr. Mary Mwanjelwa (MB)
pale alipoiba taulo hotelini Arusha wakati walipokwenda wote kwenye sherehe za harusi.

Juzi nikamsikia clouds FM akitoa somo la jinsi ya kuishi katika ndoa! Kweli maajabu hayaishi katika dunia hii
yeye mwenyewe ndoa yake imemshinda, sasa ni somo ngani anaweza kutoa kwa wana ndoa? Bado eti
kuna watu wanamsikiliza.

Au ndiyo yale ya wachungaji/mapadri wanaosema kwamba usifuate ninayotenda bali fuata ninachosema?!
Hivi ndugu zangu kama Yesu angekuja na "kauli mbiu" hiyo kweli angepata wafuasi? madhabahuni anakataza uzinzi,
usiku anangeuka mteja mkubwa wa machangudoa, anakataza kuiba usiku anageuka jamabazi mkubwa wa kutumia silaha, usiseme uongo yeye ndiye anakuwa bingwa uongo, kweli Yesu angepata wafuasi?

Matendo na maneno lazima yaendane, Mama Rwakatare ni tapeli mkubwa, nashangaa wasomi na misuti yao wanapoteza
mda kumsikiliza.
 
na pesa pia wanapoteza.kanisani mbele wanakaa wenye nazo na viti vyao ni vile high class nyuma ndo walalahoi. Sasa ilo kanisa au mashindano ya walimbwendwe?
 
Akihojiwa na Baraza La Maadili ya viongozi wa umma, kwa nin hajawasilisha fom yake juu ya mali zake, Mama. Mch. Rwakatare ameacha watu hoi kwa kusema hajawasilisha fomu yake juu ya mali zake kwa sababu shetani amepoteza fomu yake! Kwa maoni yangu, IWEJE SHETANI APOTEZE FOMU YA MCHUNGAJI? JE HUYU SI ANACHANGANYA SIASA NA DINI?

kama yeye anajiita mchungaji lakini bado "shetani" anaweza kuchukua fom yake pasipo yeye kumzuia,uchungaji wake hauna maana
 
Mama umetaka yalopita yafufuliwe, kipindi mpaka sadaka zitapungua maana wataujua ukweli
 
Kumbe hajaanza leo vituko huyu mama...Anamjua mungu wake wa kificho!...huh!
 
Makanisa ya kitapeli hapa Tanzania yako mengi ila matapeli sugu ni hawa.....
1. Ngurumo ya upako (arusha) - Mheshimiwa, mstahiki, mtukufu Geordavie.
2. mzee wa upako (ubungo dar)
3. Mwingira (dar)
4. Gwajima(dar)
5. Gamanywa(dar)
6. Mama Rwakatare(dar)
na mengine mengi hasa yanayoitwa majina yake kwa kiingereza eg Glory church, lord mercy church etc
 
Back
Top Bottom