Mchungaji Mtikila kauli yake ina ukweli?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,885
6,885
Tumemdhalilisha Mchungaji Mtikila kwa kumpeleka mahakamani na huenda kesi bado hazijaisha, lakini vyombo vya kimataifa (wiki leaks) vinafunua mambo ya Tanzania ni njia kuu ya upitishaji wa madini hatari ya uranium kwenda Iran kwa siri, pia kitovu cha kupitishia madawa ya kulevya.
Je tukijashukiwa ugaidi tutakataa wakati upitishaji wa uranium na madawa ya kulevya serikali haijakanusha?
 
Back
Top Bottom