Mchungaji Mtikila ashinda kesi ya kumkashifu rais Kikwete

Du Mchungaji kiboko ya Serikali kwani hata Mgombea binafsi alishinda ila kwa Mchungaji mwenziye aliyemshika makalio akiwapekua kanywea na vijana wa Tarime waliomvurumisha na Mkutano alinywea
 
Kila alichosema Mtikila juu ya JK ilikuwa kweli ila kwa kuwa JK hapendi kuambiwa ukweli akamshitaki Mtikila eti ni mchochezi sasa mahakama imemuumbua JK....VIVA MTIKILA.....Ila sasa Bw. Mtikila ule mkopo wa mil. 2 uliochukua kwa Rostam umeshaurudisha? Maana na wewe sometimes yes, sometimes no yaani hueleweki!!!
 
Nadhani ameshinda kwakuwa si uchochezi, ila amekashifu, tusishabikie viongozi wetu kukashifiwa hata kama hatujawapigia kura.
 
pima mwenyewe uchukue uamuzi!!


Watanzania ni wagumu kwa kupima...wewe umesahau nini?

Kuna mmoja huko nyuma alipima, akachukua uamuzi, lakini kila kukicha analalamika..."oooh sikupewa nafasi ya kusikilizwa..."
 
mtikila huwa hawezi kuishi bila kuwa na kesi na serikali.

sasa hiv atalizua lingine ili wamfungulie kesi.

YY anaishi kwa fidia za kesi tu.
kila mtu ana meanz yake ya kupata msosi,,,,,,bora yeye kuliko wala rushwa
 
Ina maana rais ni mhui na gaidi? Hawa mahakimu wanalea wachinga kama kina mtikila, laiti ingekuwa enzi ya mwalimu huyu angegeuzwa asusa
 
Ile Kesi yake ya Uchochezi,,Mahakama imemwona hAna Hatia ..kutoka na Ushahidi ulioletwa na JMT...

*Nakumbuka Bwana mdogo wangu mmoja anasema Hajawahi Kushindwa Kesi na SErikali..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Labda kwa sababu ni dhaifu. anyway mi sijui bana!!!!!!!!!
 
Kama kawa serikali inamlipa chake na mahakama kwa kumtaja kuwa mshindi imethibitisha madai ya Mtikila kuwa "jamaa' ni Gaidi na Mhuni. Hahahahaaaa mambo ya mahakama bwana. Ni ngumu sana serikali kushinda kesi katika mahakama zake ndo maana mara nyingi inazidictate!!!
 
kumbe aliyoyazungumza kuhusu Kikwete yalikuwa ya kweli!!!! Kwahiyo serikali inapaswa kumlipa Mtikila na kumwajibisha aliyeshindwa

Kumbe hata hujui ni kesi gani unaweza kulipwa fidia na kesi gani uwezi kudai fidia tatizo unaropoka sana..

Pongezi kwa mahakama kwa kwa kutenda haki.
 
JK bana angekuwa anaingilia uhuru wa mahakama saizi Mtikila angekuwa Segerea.
 
Na hii lazima ashinde!
Du Mchungaji kiboko ya Serikali kwani hata Mgombea binafsi alishinda ila kwa Mchungaji mwenziye aliyemshika makalio akiwapekua kanywea na vijana wa Tarime waliomvurumisha na Mkutano alinywea
 
Back
Top Bottom