Mchungaji Msigwa akiwa kazini Washington Marekani

Hebu leta na ile ya Nyalandu akiwa Ujerumani na waziri wa maliasili wa Kenya ,na ile akiwa na Aunt Ezekiel
Ukimaliza lete za Jakaya akiwa na 50cent na Boys to men
Daaa wewe jamaa una kumbukumbu mzuri sana,jamani eeee mwenye hizo picha atusaidie kutupia humu jamvini tuzione
 
Inawezekana watu hao wanateseka muhimbili kwa sababu ya pesa aliyotumia Msigwa kutanua na kupiga picha kama hizo marekani ingetumika kuhudumia hao wanaoteseka Muhimbili badala ya kumpa Msigwa
Vipi kuhusu yale mabilioni mliyo yaiba ya escrow?kwanini msiyarudishe yakasaidia kupatikana kwa huduma za jamii hapa nchini?
 
Hebu leta na ile ya Nyalandu akiwa Ujerumani na waziri wa maliasili wa Kenya ,na ile akiwa na Aunt Ezekiel
Ukimaliza lete za Jakaya akiwa na 50cent na Boys to men
Vipi ya yule boya mgonjwa matezi aliyokuwa anabembea Jamaica?? Mwambie asisahau na hiyo pia
 
Mchapakazi huyo hakuna asiyemjua we hii habari sijajua lengo lako haswa ni nini....labda jipange upya halafu uje na picha hii tena ndyo useme nini tatizo kama ni majungu na fitna umbea umbea peleka uswahilini humu ndani ni fikra zilizopevuka na kujua mambo katika positive way.:oops:
 
Yaani hakuna watu nawadharau hapa jukwaani kama wewe. Utamaduni wa kimarekani uvaaji wa hivyo sio tatizo kabisa ila huku kwetu ndio shida. Mfano mrahisi leo mzungu akija ama hata wewe ukienda huko kwa wabarabaigi wengi wanavaa nguo kifunika sehemu ndogo tu ya mwili wao na sio kwamba ni kwa ajili ya ngono kama wewe unavyotaka tuamini. Wamasai wangapi tunawaona wakiwa wamevaa rubega zao huku tako moja liko uchi, ama unadhani wanahamisisha ushoga?
Hao aliopiga. nao picha ni Wamarekani au wanaiga tabia za Wamarekani? unashabikia hii tabia ya kuiga kila kitu?
 
Kuna msemo unasema ''Jealous people quid pro quo''...Ila hau=husiani na hii nyuzi bin nyuzi.
 
Mwaka 2012 baba Mchungaji Msigwa alisafiri kikazi kwenda Marekani.Pichani akiwa kazini. Alipiga picha hii watu waone sura yake akiwa kazini kama ambavyo wanataka TBC iwaonyeshe sura zao wakiwa kazini.Hapo yuko pichani akichapa kazi mbele ya ubalozi wa Tanzania marekani.

Wengi walikuwa wakisafiri nje wanarudi na picha kama hizi badala ya kurudi na mambo yatakayoisaidia nchi.Magufuli alipoliona hili la watu kurudi hivi akaamua kusema kusafiri hovyo nje NOOOOOOOO!!!!!!

_DSC8604.JPG
Dah alikuwa anawajibika sana!
 
Inawezekana watu hao wanateseka muhimbili kwa sababu ya pesa aliyotumia Msigwa kutanua na kupiga picha kama hizo marekani ingetumika kuhudumia hao wanaoteseka Muhimbili badala ya kumpa Msigwa
What's up!? Mbona ni picha tu? Get a life!!
 
Mwaka 2012 baba Mchungaji Msigwa alisafiri kikazi kwenda Marekani.Pichani akiwa kazini. Alipiga picha hii watu waone sura yake akiwa kazini kama ambavyo wanataka TBC iwaonyeshe sura zao wakiwa kazini.Hapo yuko pichani akichapa kazi mbele ya ubalozi wa Tanzania marekani.

Wengi walikuwa wakisafiri nje wanarudi na picha kama hizi badala ya kurudi na mambo yatakayoisaidia nchi.Magufuli alipoliona hili la watu kurudi hivi akaamua kusema kusafiri hovyo nje NOOOOOOOO!!!!!!

_DSC8604.JPG
Ni kazi gani hiyo anayoichapa? Kama ndi hivyo ndiyo kuchapa kazi bado kuna safari ndefu ya kujikomboa kifikra.
 
Mwaka 2012 baba Mchungaji Msigwa alisafiri kikazi kwenda Marekani.Pichani akiwa kazini. Alipiga picha hii watu waone sura yake akiwa kazini kama ambavyo wanataka TBC iwaonyeshe sura zao wakiwa kazini.Hapo yuko pichani akichapa kazi mbele ya ubalozi wa Tanzania marekani.

Wengi walikuwa wakisafiri nje wanarudi na picha kama hizi badala ya kurudi na mambo yatakayoisaidia nchi.Magufuli alipoliona hili la watu kurudi hivi akaamua kusema kusafiri hovyo nje NOOOOOOOO!!!!!!

_DSC8604.JPG
Na mama yako alikuwapo!
 
hapo sijui ni ndugu zake huko amerika ameenda kikazi kuwaona!
 
UCHOKO Mtupu!! DUME Zima Kutafata Picha Za Kirafiki Zao Binafsi Na Kutumia Humu, Kama Ubadhilifu Wa Mali Za Umma!! HIVI Kila Mtu Akienda Ughaibuni, Basi Ni Pesa Za SERIKALI!!!
 
hapo sijui ni ndugu zake huko amerika ameenda kikazi kuwaona!

Wengi walikuwa wakitumia tiketi za kikazi kwenda nje ya nchi kwa ajili ya likizo au kuona ndugu zao au watoto wao wanaosoma huko wanakoenda au kutumbua na hawara zao Dubai au ulaya.Kisingizio wanasema tunaenda safari ya kikazi au seminar huko wanakoenda .Gharama za tiketi,hoteli na kila kitu kinalipwa na walipa kodi wa Tanzania.Mungu na awalaani wote waliotumia njia hii kuwaibia watanzania.
 
Hao aliopiga. nao picha ni Wamarekani au wanaiga tabia za Wamarekani? unashabikia hii tabia ya kuiga kila kitu?

Halafu Msigwa alikuwa wakati huu waziri kivuli wa mali ya asili na utalii.Angewashauri wavae kitanzania zaidi.Watanzania wengi hawavai hovyo hivyo.

Lakini kibaya zaidi ofisi ya ubalozi wa nchi husimamia mila na desturi ya nchi husika.Kwenda kuvaa hovyo hivyo kwenye ubalozi wa Tanzania ni kutukanisha ubalozi.Mbona wakienda kuomba viza ubalozi wa marekani ili waende huko marekani waliko mbona huwa hawavai hivyo?

Sasa naelewa kwa nini ubalozi wa marekani wameweka marufuku kuwa marufuku kupiga picha hapa.Kumbe si tu kwa ajili ya usalama lakini pia kuzuia watu wa ajabu ajabu kupiga picha mbele ya ofisi zao za ubalozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom