Mchungaji Msigwa aendelea kuifumua CCM mkoani Iringa

Mkuu, Sio Selasini peke yake, wapo wengi zaidi.
However, my point is, Kuna watu wana disaddvantage coz majimbo yao yapo vijijini.
Chochote kidogo wanachofanya kinaweza kisionekane humu.

Think about that!!!

Mkubwa Jimbo la selasini sio landlocked katika media. Ni mtu kutokuamua kupiga kazi kama wengine tu. Nadhani katika jeshi la CDM bungeni kutoka majimboni huyu jamaa wa Rombo ni mzigo na ni mmoja kati ya wale wabunge watakao andika historia ya kua one term MPs

Hongera kamanda msigwa. Piga kazi, jenga Chama. Imarisha mtandao wa CDM hapo iringa kwa sababu pamoja na mambo mengine huo ndio utakaokupigania kurudi mjengoni 2015
 
mijitu inayofikiria udini kila kukicha ni sawa na karakana ya shetani,mbona haya majitu yanakaa kimya kwenye issues za kugawana pesa?ambayo ndiyo dhambi kubwa ya kubomoa taifa hili muda si mrefu? Iddle mind is workshop of devil.twilumwi,msigwa good middle!
alafu bahati mbaya sana haifi mapema sijayaooooona yakichangia thread ya picha za muhimbili
 
Namkumbuka msigwa wakati yuko TLP alikuja viwanja vya klerruu 2005,alishusha nondo balaa.Ni mpambanaji wa Long time.
 
Nyie CCM endeleeni kupiga domokaya. Wanachama wenu wako HOI kwa umaskini! Unadhani watabakia CCM huku wanaona ninyi viongozi MKINEEMEKA huku wao wakibaki kwenye LINDI LA UMASKINI? Hata kidogo!

Mtakapokuja kugutuka usingizini, mtakuta matawi yote (kuanzia shina) yamekufa, watu wamehamia CHADEMA!

Kumbukeni ule wimbo wa "Usimchezee Chatu"!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom