Mchungaji "Mchaga"

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Mchungaj: Nasema pepo toka katika jina
la Yesu!
Pepo: sitoki!!!
Mchungaji: shindwa pepo! Toka na
mwache huyu mtumishi wa Mungu!
Pepo: sitoki. Nimemwingia huyu mtu ili
ashinde bahati nasibu ya milioni 100!
Mchungaji(mchaga): toka shetan nasema
toka haraka na uniingie mimi mara moja!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom