Mchungaji lusekelo chanel ten anazungumzia mgomo wa madr

ahubiri kinachompa kula kila siku na aachane na asiyo na undani nayo
 
hili ni pepo lake linayoitwa roho mtaka mali linaongea, alipoenda Nigeria ndo alilinunua. Hz ni mbinu tu za Kupata fadhila kutoka kwa magamba. Ipo siku atakula matapishi haya aliyoyatoa leo.
 
Mwangalieni chanel ten

aaaaaaaaaaaaaaaaaaah, hii nchi bwana, kesho Pinda zae ataanza kuhubiri, sasa shehe sijui atafanya nini? kwa nini ya ngoswe asimuachie ngoswe mi nadhani haka ni kamchezo ka karata tatu kuna mtu kaliwa sasa anakomaa ili arudishiwe haki yake na alikula anakomaa kushawishi kwamba hamjamuibia si aliona NAKUOENDA NA NITAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE TANZANIA
 
Mi nimemsikiliza nikafikiri ana matatizo ya kusoma alama ya nyakati!

Kasema,enzi ya Mwl madaktari waligoma hivi hivi na mwl akampigia sijui kasema Fedri Castro simu na akatuma madaktari wa kutosha wakatua muhimbili.

Mi nikatamani nimwambie hii ni karne ya 21.
 
KUNA HAJA YA KUPIGA MARUFUKU DINI ZOTE TANZANIA.

Katiba mpya lazima ielezee mipaka ya dini kwenye SIASA.

To hell with Wala Vya bure :(
 
Yeye si anao upako ningemuona ana akili na mzalendo kwa taifa kama angezunguka kwenye mahospitaki na kuwaombea hao wagonjwa, ili kuokoa gharama za madawa na mishahara ya madokta znazoikabili za taifa. Failure to do so yeye ni TAPELI tu..
 
Huyu anayejiita mchungaji hana lolote ni wale wanaotumia nguvu za giza katika kuwapumbaza waumini ili kutoa sadaka na mali zao mwishowe wanajikuta hawana kitu. Hapa anajitaidi kuitetea serikali ili afiche maovu yake siunaijua serikali ya jk ukiisifia hata kama ww ni jambazi hautakamatwa utalindwa sana na dola.
 
Lusekelo ombea wagonjwa wote walioko mahospitalini na majumbani,ili ikibidi tufute fani ya utabibu!kama huwezi piga kimya!
 
KUNA HAJA YA KUPIGA MARUFUKU DINI ZOTE TANZANIA.

Katiba mpya lazima ielezee mipaka ya dini kwenye SIASA.

To hell with Wala Vya bure :(
kupiga marufuku haiwezekani, ila tujiulize, huyu tapeli kapata airtime, je angekua ustaadh angepewa hiyo airtime kwenye TV na kuanza kuchamba drs???

Kuna haja ya kuchuja vipindi vinavyorushwa na "manabii..........." najua wapo waumini watashambulia, lakini ni hivi, naskia jamaa ana tabia ya intimidation ya giza "kuja usiku" pale ambapo anapingwa kwa nguvu

zipo carribean na west africa hizo shule za kina profesa eyesu!!
 
Unajifanya unauchungu na taifa hili wakati sisi tunakuona choko tu!acha madr wapewe haki yao!au unataka familia zao zife kwa njaa eti kisa ni dr hatakiwi kugoma?au na wewe unapewagwa posho ili uropoke hayo?
 
Back
Top Bottom