Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja

tuwe makin na hawa wachungaji ni janga kwa taifa

Mkuu unaonekana unamawazo mgando sana lini gwajima aliwai kusema kitu kisitokee amka ww si unaina ccm inapoekekea saivi waache watumishi waseme ukweli we endelea kuzubaaa
 
Kabla hujapinga, hujakosoa hujaropoka kwanza angalia tarehe hapo juu alisema maneno haya lini, na leo 2015 yanatimia ndio ujue hicho ni kinywa cha Mungu Duniani usijua ni wewe tu lkn wenye akili zetu tunajua Mungu anatembea Tz.
 
utakua umerigwa na ww "gwajima kinywa cha MUNGU?"USIRUDIE TENA MANENO HAYO.
 
Back
Top Bottom