Mchungaji Cherehani mweka hazina shupavu wa chadema dmv

dmvuno

Member
May 27, 2012
93
20
attachment.php

Mchungaji Cherehani baada ya kuchaguliwa mweka hazina wa CHADEMA tawi la DMV (Washington D.C, ameonyesha ushupavu wa hali ya juu katika ukusanyaji wa mapato hapa DMV.

Mchungaji Cherehani ambaye hata kanisa lake linaitwa Kanisa la CHADEMA Washington D.C waumini wanadai kuwa amekuwa anahubiri siasa badala ya dini. Pesa zetu za kanisa zitasalimika? Je siasa na dini vitaenda pamoja?
 
Attachments

  • cherehani.JPG
    cherehani.JPG
    51.4 KB · Views: 816
makanisa yataibuka kila siku, lakini kanisa moja tu ndilo litakalosimama. Ni kanisa la KRISTO, alilolianzisha mwenyewe, akawafundisha mitume kulieneza lakini lilipofika rumi likachakachuliwa, wakaanzisha kanisa la irumi kwa kuchukua ya kristo machache na ya kirumi mengi. Tangu hapo kumekuwa na mwendelezo wa kufungua makanisa kila uchwao ambayo siyo ya kristo na wala hayamtangazi kristo katika roho na kweli, bali kristo ni njia ya kupitia kufanikisha malengo ya ofisi zao.

UNAYEJIITA MKRISTO, usikubali kuyumbishwa, fuatilia kanisa ulilomo liliibuka vipi, baada ya hapo soma 1kor 1:10 ff, utajifunza kuwa kristo ni mmoja na hivyo kanisa linatakiwa kuwa moja tu, yaani KANISA LA KRISTO.
 
Naona Chadema wana hazina kubwa ya Wachungaji...Mchungaji Cherehani, Mchungaji Peter Msingwa, Mchungaji Israel Natse.
 
Mkuu kwa hoja yako hii Imeniguza sana. Mkuu umesema kanisa ni moja, nitawezaje kuwa mshirika wa hilo kanisa la KRISTO.
 
Imeandikwa "anayeijua kweli na asiisimamie anamsononesha mwenyezi mungu" kama chadema wanasimamia ukweli hata mungu wa watanzania anafurahi .
 
mkuu kwa hoja yako hii imeniguza sana. Mkuu umesema kanisa ni moja, nitawezaje kuwa mshirika wa hilo kanisa la kristo.

ni sula la kusoma biblia na kujifunza kwa bidii kuelewa nini mungu anataka ufanye na kwa wakati gani. Kuna maelekezo yalitolewa ukiendelea kuyatumia leo, siyo sahihi. Kwa hiyo unahitaji kujifunza kwa bidii mungu alisema hivi akilenga nini na kwa wakati gani basi, utakuwa umesimama.
 
CHADEMA na UKRISTO, UKRISTO na CHADEMA! Huwezi kutofautisha vitu hivi!
 
Naona Chadema wana hazina kubwa ya Wachungaji...Mchungaji Cherehani, Mchungaji Peter Msingwa, Mchungaji Israel Natse.
Wote hao wamesoma na wanasifa zote kushika nyazifa... tatizo lenu Shule, puguzen madrasa, watoto wakasome
 
ni sula la kusoma biblia na kujifunza kwa bidii kuelewa nini mungu anataka ufanye na kwa wakati gani. Kuna maelekezo yalitolewa ukiendelea kuyatumia leo, siyo sahihi. Kwa hiyo unahitaji kujifunza kwa bidii mungu alisema hivi akilenga nini na kwa wakati gani basi, utakuwa umesimama.

Mkuu wangu, nimekuelewa, hata hivyo naweza kusoma sana biblia na bado nisiweze kufahamu mambo muhimu. Kwa hiyo ni vyema ufunguke zaidi ili kuiponya roho inayopotea.
 
Naona Chadema wana hazina kubwa ya Wachungaji...Mchungaji Cherehani, Mchungaji Peter Msingwa, Mchungaji Israel Natse.

Na C.C.M nao wapo kina Mchungaji Mwanjali; Mchungaji Dr. Getrude Lwakatare; ..... ongeza wengine!!
 
Back
Top Bottom