Mchungaji: Chanzo cha Kuchoma Makanisa ni CCM kuingiza Kadhi Katika Ilani ili JK apite!!!!!!

kwa kifupi tanzania ishapoteza sifa yake ya kuwa nchi yenye amani duniani, kilichobaki ni wizi ufisadi, uchama , undugu, ukabila, CCM imepoteza mwelekeo wa nchi, kilichosalia ni kusimama kidete iondoke madarakan
 
Ktk nchi kuwa na watu wenye nguvu na wafuasi wengi kiasi hicho ni hatari sana kwa Usalama wa nchi. Yanaweza kutokea yale ya Somalia wakati ule wa Farah Ideed.
 
Kwenye hili la kuchoma Makanisa CCM wanapaswa kujenga makanisa yaliyochomwa moto
 
Kuna Mchungaji ametoa Kauli kuwa Chanzo cha Kuchoma Makanisa ni CCM ambayo iliingiza kinyume cha Sheria kipengele cha Mahakama ya Kadhi ili wapate Madarak amwaka 2005. Amesema mtu wa kulaumiwa hapa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa (JK) ambaye aliomba kura kwa Wananchi kwa kutumia sera ya dini yake badala ya sera za vyama vya siasa.

Amewataka Waislamu na jamii ya Watanzania wapenda amani wasielekeze lawama kwa Waislam bali Waelekeze lawama kwa watawala walioingia madarakani kwa sera ya kuwagawa Watanzania kwa mfumo wa dini ili iwefundisho kwa watawala wanaotaka madaraka kwa kumwaga pesa katika nyumba za ibada.
Amewataka Maaskofu kutokuwa Wanafiki kwa kukwete kueleza ukweli juu ya Madhara yaliyoletwa na CCM kupitia Kipengele cha Mahakama ya kadhi bali wanapaswa kueleza ukweli hata kama watawala hao watatembelea Makanisa !!
Pando walilolipanda watawala sasa linaleta matunda na yafaa Waachie ngazi ili amani ipatikane.
Udini katika siasa ni Mbegu Mbaya kuliko hata maandamano ya kuutoa utawala na Msajili wa Vyama vya siasa anapaswa kuangalia vyama vilivyochocheo udini huu na kuchukua hatua
Source : Tz Daima pg 2 na Vyanzo vingine.
Monday, October 15, 2012

JK ATUNUKIWA NISHANI YA JUU NA SULTAN WA OMAN




Picha ya Juu; Sultani wa Oman, Qaboos bin Said Al Said akimtunuku Rais Jakaya Kikwete, nishani ya juu ya heshima ya Taifa la Oman kwa kiongozi wa nje, wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake Oktoba 15, 2012 kwenye kasri ya AL Alam jijini Muscat. wakati picha ya chini

Rais Kikwete akimpa Sultani Qaboos bin Said Al Said zawadi ya picha ya Tembo, kuonyesha utajiri wa maliasili uliopo nchini Tanzania
(Picha na Ikulu)


Posted by Khals at 9:40 PM Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

ingekuwa mmeanza leo 2ngeshangaa sana ila kwakuwa ni kawaida yenu 2nawachukulia poa 2,nchi akitawala muislamu 2 lazima mlete fitna,enzi za mwinyi mkasema anaongozwa na mke wake huyu nae mnamwambia anataka kuigawa nchi kwa udini.mbona mkapa alipoingiza nchi kwenye EPA na rafiki zake hamsemi?
 
kikwete kuna wakati alishasema ilani ni ya ccm,waliiandaa wakamkbidhi yeye kama mgombea akimaanisha kwamba hatawajibika kwa yote yaliyoko kwenye ilani kwani yeye sie mwaandaji wake.

Pia naomba kueleweshwa mahakama ya kadhi iko kwenye ilani,au na ahadi ya kikwete mwenyewe
?

kwenye ilani ya uchaguzi 2005
 
Mbona habari nyengine na picha nyengine kwa hili hata wewe muandishi hapa una chochea vurugu unataka watu wajenge dhana kuwa jk huko Oman kaenda kwa maslah ya Waislam acha uchochezi muandish na kuwa muadilifu.
 
Back
Top Bottom