Mchungaji auliza swal kanisan waumin waduwaa

Malumbizo

Member
Jan 25, 2012
47
6
Katka mwil wa binadamu kuna sehem moja ambayo ina maji mengi naomba mnitajie, mchungaj aliuliza kwa waumin wake ,waumin wakaguna .mchungaj alipoona kimya aliamua kutoa jib mwenyewe na jib lake ni @mdomo:je ungekuwa wewe ungejib nin?
 
Me ningesema kibofu cha mkojo mhh... nimekosea. Sijui ningesemaje
 
shekhe mmoja nae aliulza hvyo hvyo msikitini kwa waumini wake,Je ungekuwa wewe ungejibu vipi?
 
Katka mwil wa binadamu kuna sehem moja ambayo ina maji mengi naomba mnitajie, mchungaj aliuliza kwa waumin wake ,waumin wakaguna .mchungaj alipoona kimya aliamua kutoa jib mwenyewe na jib lake ni @mdomo:je ungekuwa wewe ungejib nin?

jicho lako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom