Mchungaji atembezwa uchi

Mr.Toyo

JF-Expert Member
Feb 9, 2007
433
117
WACHUNGAJI wanane wa makanisa ya Kipentekoste wanaotoka jamii ya wafugaji wa Kimasai wilayani Arumeru wamezihama nyumba zao na kwenda mafichoni wakihofia kukamatwa, kuvuliwa nguo, kutembezwa mitaani na kutozwa faini dume la ng’ombe baada ya kudaiwa kwenda kinyume na mila, desturi na taratibu za jamii hiyo kuhusu sherehe za tohara kwa wanaume.

Waliokimbia nyumba zao kwa hofu hiyo ni pamoja na Mchungaji Edward Supeeti, Simon Sivai, Joel Hamisi na Loi Langasi huku wengine wakiwa ni Loishinde Mollel, Jonas Lebulu na Geofrey Jacob.

ENDELEA ZAIDI HAPA.
SOURCE: Mchungaji atembezwa uchi, saba wakimbia nyumba
 
Ni mapito tu Mungu atawasaidia,pole zao kwa pamoja tuendelee kuwaombea ili waumini wao wafunguke,
 
Ni mapito tu Mungu atawasaidia,pole zao kwa pamoja tuendelee kuwaombea ili waumini wao wafunguke,

Wale wamejitakia wenyewe,yani naweza kusema wamejaribu sumu kwa kuonja,maana mmoja amekimbia rika bila taarifa yeyote,hao wengine wamechukua maamuzi yao ya kibinafsi ya kuwafanyia vijana ambao ni rika jipya tog.ara kienyeji, Na ikawagharimu (ITAWAGHARIMU SANA) mpk watatamani wasingekuwa kabla hilo lengwa. Wakome kabisa na washikishwe adabu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom