Mchungaji Aibuka na Kikombe. Ruvu Darajani nao wakumbukwa

Hii, inaonyesha kuwa wa TZ wameshindwa maisha,,,na wamekata tamaa kutokana na matatizo waliyonayo.
na hii ni hatali sana kwa Taifa zima,, iweje kila siku kunaibuka kikombe na watu bado hawasikii na wala hawaelewi nini kinaendelea,,
Je? hii si dalili za watanzania kukata tamaa?

Mungu iepusha TZ na hili balaa.

Sio kwamba Watanzania wamekata tamaa, ni dalili za kurudi kwa Yesu. Njaa, vita, matetemeko, magonjwa, uovu, uasi ju ya sheria za Mungu na Manabi wa Uongo, ila mwisho bado. ukisha ona hizi dalili furahi maana karibu unafika nyumbani
 
Back
Top Bottom