Mchungaji afungwa miaka 30 jela kwa kubaka

Status
Not open for further replies.

Bongolander

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
5,067
2,197
Send to a friend Saturday, 07 August 2010 10:04 (Mwananchi web version)

Gasper Andrew
New Kiomboi

MCHUNGAJI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), katika Kijiji cha Chemchem, wilayani Iramba, amehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela, baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka muumini wake wa umri wa miaka 19.

Adhabu hiyo dhidi ya mchungaji Japhet Nakomolwa (26), inaambatana na kuchapwa viboko 12.

Hukumu hiyo ilitolewa jana na Mahakama ya Wilaya ya Iramba, baada ya kuridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka katika kesi hiyo.

Hukumu hiyo ilisomwa na Hakimu Mkuu Mfawidhi Mrisho Kariho.

Mapema, Mwendesha Mashtaka Mrakibu Msaidizi wa Polisi, Adamu Chasama, alidai kuwa mshtakiwa alitenda kosa hilo Novemba 16 mwaka jana.

This is what will happned to our daughters if they go to church, Sio kwamba mafisadi na wezi wameingia kwenye siasa bali pia wahalifu na wahuni wanavaa majoho ya Mungu.
 
hao walikubaliana, msichana wa miaka 19 anabakwa kweli?
 
walikubaliana, tatizo yule mchungaji akamtelekeza binti kwenye gari bila kumpa hata nauli - lilisanuka pale yule binti alivyoshushwa na kukabidhiwa kwa police sasa katika kuhojiwa likaingizwa na lile la ukumwingilia ki unyumba ambapo likawa ni ubakaji moja kwa moja.

Pamoja na yote hayo mchungaji ana hatia - ni kosa kubwa sana mchungaji kula kondoo wake. afungwe ili iwe fundisho kwa wengine.
 
ni kweli wacha atuachie na waumini tutafunane kondo kwa kondo sio kila siku wao
 
Kila mtu ula kilicho karibu yake,mchungaji wacha ajimegee kondoo
 
This is what will happned to our daughters if they go to church...

do not generalize that all who go to the church shall be befallen by the same fate. afterall the said pastor faked the poor girl for the allerged requirement of a house girl by his dar based brother.

gonga hapa

usipotoshe maneno vinginevyo tutakubatiza kama mzee wa porojo.
 
This is an act of indiscipline and insanity before the holy face of our lord jesus christ!!!! The light of our God father shines upon all !!! Amen
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom