mchumba

Dogo hiyo tunaita diplomatic kibuti. Hapo hupendwi mtu wangu sepa fasta ukatafute mwingine.
 
Mbona nyie wote umri wenu bado mdogo hauendan na presha mliyonayo ya ndoa?niisliongelee sn kwan hayo ni maamuzi ya mtu binafsi!Inawezekana kbs hayuko tayari kuolewa km alivyokueleza malengo yake ni kuendelea na masomo,pia km mwanzon alimkubalia huyo uliyemtuma kuwa yuko tayari kuolewa lkn mlipoonana akageza kibao inawezekana hakukupenda baada ya kukuona na kuongea na ww,au pia labda anakupima msimamo wako pia,nakushauri usiwe na haraka peaneni muda wa kufahamia vizuri kwan kwa mujibu wa story yako hakuna anayemjua mwenzie vizuri,fahamianeni na km kila mmoja akiridhika na mwenzie ndio mfikie kuongelea ndoa,ndoa si mchezo waulize waliooa watakupa habari yake,acha kukurupuka!

umri wa mwanaume si mbaya sana kama atamuoa lakini naamini kwa binti utayari ni bado ki umri hata kimawzo pia nadhani ameshamweka katika wakati mgumu kwa kumpa taarifa za ndoa na naamini huyu binti atakuwa anawaza ndoa kuliko utayari wa ndoa
 
Kwa sisi wanafunzi,tunakiita hcho kibuti kama technical supplementary...we tafuta mmanzi mwingne 2 chalii yangu.
 
Back
Top Bottom