Kumbe bora mi maji ya kunde!!mbona nasikia wanaume weupe ni maheart breaker.......inaogopesha ujue
Mie mweusi Preta~deal or no deal?.mbona nasikia wanaume weupe ni maheart breaker.......inaogopesha ujue
1. Nani kakuambia kuwa wewe ni mtanashati? Au ndo biashara matangazo?2. Unamtafuta mwenye kazi ili umchune?3. Hapa ni MMU, mchumba anatafutiwa kule Kulikoandikwa Love Connect.Natafuta mchumba jaman kijana mtana shati wa kitanzania nina umri wa miaka 24 mrefu mweupe nataka binti anayejiamin mrefu wastani miaka 18-23 awe na elimu angalao kidato cha sita na kuendelea kana ni kidato cha nne awe na kazi
Mie mweusi Preta~deal or no deal?.
Natafuta mchumba jaman kijana mtana shati wa kitanzania nina umri wa miaka 24 mrefu mweupe nataka binti anayejiamin mrefu wastani miaka 18-23 awe na elimu angalao kidato cha sita na kuendelea kana ni kidato cha nne awe na kazi
Natafuta mchumba jaman kijana mtana shati wa kitanzania nina umri wa miaka 24 mrefu mweupe nataka binti anayejiamin mrefu wastani miaka 18-23 awe na elimu angalao kidato cha sita na kuendelea kana ni kidato cha nne awe na kazi[/QUOTE nenda sehemu iliyo sahih.
Ze utamu imerudi??Kwani love connect haifanyi kazi?tupia advert yako kuleeeeeeeee,,ze utamu.........!!!!!!!!!!!!