Mchumba wangu ana jini mahaba

Isalia213

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
1,198
431
Nimebahatika kupata mchumba nadiriki kusema tunapendana ila kunatatizo linamsumbua mchumba wangu huwa baadhi ya usiku huingiliwa usingizini na akiamka huwa na dalili zote za kufanya ngono tena hapo huanza kunichukia mimi bila sababu kwa muda kama usiku tatu na baadhi ya siku kunambia hanitaki ila akisha tulia huwa na upendo mzuri tu kwangu wasiwasi wangu tukija kuona kweli tutadumu kwa hali hii au niachane nae kiukweli tunapendana.
 
Pole sana mwambie ajaribu kusoma dua hili kila kukicha.

BISMILLAH ALADHI LAYDHURU MAIISMI SHEY FIL ARDHI WALA FIL SAMAA WAHUWA SAMIIU AL ALIMU.


Tafsili yake; UNAMUOMBA MUNGU AKUKINGE NA KILA BALAA LILIOPo CHINI YA ARDHI AU JUAA YA MBINGU NALISIKUDHURU BILA AMRI YAKE MUNGU.

Usiimkibie kuwa naye tu...na jini mwisho litasarenda.
 
Mpeleke akaombewe kwa jina la yesu hilo dubwana litaondoka na halitarudi tena!upendo wa kweli huvumilia na co kumkimbia mwenzio kwa tatizo lenye ufumbuzi!ukimkimbia leo ww unaijua kesho yako?km ni mwanaume utashirikiana naye mmalize tatizo ila km ni mvulana utamkimbia kwan hata hivyo utakua huna cfa za kuwa mume!
 
Yana mchezo yakimchoka mchumba wako yata badilisha kibao.
 
Nimebahatika kupata mchumba nadiriki kusema tunapendana ila kunatatizo linamsumbua mchumba wangu huwa baadhi ya cku huingiliwa ucngizini na akiamka huwa na dalili zote za kufanya ngono tena hapo huanza kunichukia mimi bila sababu kwa muda kama cku tatu na baadhi ya cku kunambia hanitaki ila akisha tulia huwa na upendo mzuri tu kwangu wasiwac wangu tukija kuona kweli tutadumu kwa hali hii au niachane nae kiukweli tunapendana

Mkuu unampenda kweli huyo? Kama unampenda utakuwa nae mpaka aondokane na hilo tatizo. Hilo tatizo sio kubwa linatibika sana. Binadamu tumeumbiwa matatizo, na dawa ya tatizo sio kukimbia ila kupambana nayo tu. Hujui kesho mkuu itakuwaje kwenye maisha yako
 
Kwa hiyo hayo majini mahaba yanammiminia manii ndani?au yanatumia ndom?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom