Mchumba wa rafiki yangu

Hapa nilipo nimechoka akili na roho..... sijui nitaanzaje kumuuliza mshkaji maana siku zote yeye ndo kinara wa kupigiastory za mademu na mastyle ya kumake malove.

Uwiiiiii., hakyanani hapo mkuu kweli unamtihani.. Anyways ongea na msela, mwambie ukweli ingawa inaweza kuwa na impact flani kwa friendship wenu maana kama alikuwa anakupa hizo story afu agundue kuwa unajua siri yake, sijui kama atakuwa comfortable na wewe tena. All the best.

Kama mnaheshiana basi muulize anataka nini hasa kutoka kwako. Au muulize jamaa (hapa inahitajika ujasiri) kuhusu hilo tatizo mkewe alilokuambia.

USHAURI.
Waafirika bana, sasa mtu kaja kuomba ushauri, mmeshajenga yenu kichwani..
Dirt minds hizo asee...!
 
sarikoki anakutaka huyo, mpe haki yake. hakuna haja ya kunyima ntu kitu wakati anakitaka ila amekuja na hoja dhaifu ya kumponda mshikaji. Kaka chapa fasta halafu kama mbwa mwitu unafuta mdomo kama vile hujala kitu.

Bazazi ni Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
I hardly comment on relationships because I think I'm not good on them! But this is different, most of us men have this problem and we always neglect women on times they complain of being not satisfied! There must be a good amount of data for the law of large number to apply! What you can do is talk to your friend! Openly! Tell him as a friend that you have this problem that needs to be fixed before things gets worsened! It's better now they are not married than getting into a union that will leave some one unhappy! So please respect her wishes and deal with the issues urgently but in a very systematic and carefully! Good luck my friend!
 
Mkuu hapo kweli una kazi. Inasemekana kwamba mara nyingi watu ambao kidogo wana matatizo kwnye suala zima la performance huwa ni wazuri sana wa kupga story za mapenzi na kujaribu kuonesha kwamba huwa wanatoa dose ya kiukweli pindi wanapokutana na wenzi wao. Nashawishika kuamini hivyo pia kwa maana hii ndio njia ninayoiona ya mtu kufanya self defense. Ni kama vile wanajua kwamba wana matatizo hivyo wanajitahid kujieleza tuone kwamba wao ni marijali
 
Kaunga! Hapo maana yake nini? au kwa kuwa hamdindi?

Ila nimepapenda sana. Mwanamke lazima ajiamini, ajithamini, na ajiheshimu.

Bazazi!

Ndio maana tunabakwa, yaani waweza fake na kupaka mate na mambo yakaendelea. Sasa kinababa sijui unaweka pen halafu unafunga ili kuupa uume suport?
 
Last edited by a moderator:
Kaka,

It is obvious that your friend doesn't want you to know about this problem of his, hence his (probably fake) stories about his sexual performances. Na huyo mchumba wake pia anaonekana amekwambia sababu imebidi tu, ila angekua na uwezo angeendelea kukaa nayo moyoni. Kuondoka kwake bila kumaliza lunch ni alama wazi kabisa kua she had a message to deliver, she did it, but she didn't want to hear your opinion about it.

The best you can do is to keep it to yourself and in case they break up, read it in the light of the information you have. Wewe umeambiwa tu, for your information. Ikiwa rafiki yako atakataliwa, basi kaa ukijua hilo ndilo sababu. Don't interfere. Don't discuss it with any of them unless they bring it up. And if they do, washahuri waende kwa daktari tu.
 
alianza kama hivi.
Unajua shem, naomba usinielewe vibaya ila hichi kitu nilitaka nikueleze toka sikunyingi lakini nilivumilia nikijua kitaisha ila naona tunaelekea kwenye ndoa na hali ni ileile na rafiki yako hataki ushauri wangu...
Nikamuuliza kulikoni tena mbona unanishtua....
Akavuta pumzi akarudisha kijiko kwenye sahani akaanza kuongea kwa sauti ya chini .. Jamaa hafunction vizuri.. yaani its complicated.
Kwa kweli nilihisi sikumuelewa hivyo nikaomba arudie... akasema uku ananiangalia machoni; mshkaji wako haisimami vizuri na nimeshamshauri twende hospital toka siku nyingi hanielewi... i dont think if i am ready for this shem... no..no,no,no i cant anymore.. ziwezi nimekuambia kama rafiki yake wa karibu ili ukisikia malalamiko yoyote ujue sababu ndio hiyo na si nyingine... Ila we can just be friends and hangout kama kawaida.... alisimama akaondoka hata chakula hakumalizia.....
.
omba mzigo ukatest acheki nayakwako kama inasimama dede au vipi kama amekuamini na kakuambia nawewe muambie mkafanye kolabo myt be anamsingizia msela anataka game hapo kijana nenda kapafomu
 
Inasikitisha sana, poleni kwa mitihani. So happy to be a woman!

What is that supposed to means...............unafikiri hakuna wanawake wenye matatizo kama haya.
I think You're happy coz you dont have that problem..............
 
What is that supposed to means...............unafikiri hakuna wanawake wenye matatizo kama haya.
I think You're happy coz you dont have that problem..............

Kuna upungufu wa nguvu za kike?

Na nguvu za kike ni zipi?
 
Hapana aisee..yaani anajieshimu sana huyu dada... anajua nina mke na wote huwa tunakuaga pamoja outing

Nenda moja kwa moja kwa rafiki yako umueleze ukweli ili uokoe jahazi. Mpe ushauri rafiki yako aende kwa daktari hilo la stori za mapenzi hata mwanamke anaweza akatunga stori za lovemaking.
 
huyo dada ni MUONGO atakua ameisha achana na huyo jamaa yake sasa anatafuta njia ya kumucha kwa kumpa kashfa nzito na chafu.think twice mkuu hawa wadada ndo stlye yao siku hizi unaweza kusikia nimemuacha huyo jamaa yenu kisa anakidude kidogo kama SOSEJI au hana nguvu sawa sawa akishapiga kimoja analala.na mnavojua tazizo la nguvu za kiume maana hakuana nguvu za kike basi tunaanza kuelewa hivyo.mie kuna jamaa aliambiwa oohn nimemucha kisa hajui kuperform duh ilibidi niweke rekodi sawa ilikua ni uongo mkubwa coz jamaa tulishawahi kumpiga chabo aaaah asikwambie mtu gemu lake ni soo.

Mkuu, game huwa linategemea uwanja. Muulize Fabregas atakuambia!
 
anakutaka huyo....
tena anamtaka sana
izo ni gia za kumuingiza jamaa kingi au alishaharibu ivo anaaza kusambaza mbovu juu ya jamaa wawatu ili hata siku kikiharibika watu wajue ni sababu jamaa hawezi kama binti alivodai
hapo kuna kitu nyuma ya pazia mana kama hawezi vizur walikaaje wote mda wa uchumba mpaka wanataka kuoana mana ninavoelewa ivo hakuna msichana anaweza kukaa na mkaka wa dizaini hiyo aliyodai huyo binti ivo just open ut eyes men kuna mtego tena mkubwa si mdogo
 
Back
Top Bottom