Juzi kwenye saa sita mchumba wa jamaa yangu wa karibu sana alinipigia simu kuniuliza kama niko ofisini anipitie tukale nae lunch.
Saa saba kama dakika kumi akapiga siku kuniambia ameshafika yuko parking, nilimfata tukaingia kwenye mgahawa wa hapa ofisini.
Kwa kweli hakuwa comfortable mpaka ilinibidi nimuulize kulikoni,alianza kama hivi.
Unajua shem, naomba usinielewe vibaya ila hichi kitu nilitaka nikueleze toka sikunyingi lakini nilivumilia nikijua kitaisha ila naona tunaelekea kwenye ndoa na hali ni ileile na rafiki yako hataki ushauri wangu.
Nikamuuliza kulikoni tena mbona unanishtua.
Akavuta pumzi akarudisha kijiko kwenye sahani akaanza kuongea kwa sauti ya chini .
Jamaa hafunction vizuri.
yaani its complicated.
Kwa kweli nilihisi sikumuelewa hivyo nikaomba arudie.
Akasema uku ananiangalia machoni; mshkaji wako haisimami vizuri na nimeshamshauri twende hospital toka siku nyingi hanielewi.
I dont think if i am ready for this shem, no..no,no,no i cant anymore,ziwezi nimekuambia kama rafiki yake wa karibu ili ukisikia malalamiko yoyote ujue sababu ndio hiyo na si nyingine, Ila we can just be friends and hangout kama kawaida,alisimama akaondoka hata chakula hakumalizia.
Hapa nilipo nimechoka akili na roho, sijui nitaanzaje kumuuliza mshkaji maana siku zote yeye ndo kinara wa kupigiastory za mademu na mastyle ya kumake malove.