Mchumba wa rafiki wa dada yangu ambaye pia ni rafiki wa mume wa dada yangu anamtaka dada!!

si wote wenye uwezo wa kujielezea,nahisi alitaka ushauri kama huyo dada yake akubali kusimamia hiyo shuguli(sasa sijui ni harusi,kparty or) ya rafikiye au asikubali.Otherwise aulize swali basi.
 
Kama dada yako ameamua kutomwambia rafikiye kuwa mchumba wake amemtongoza basi ahudhurie harusi,kama hataki kuhudhuria basi amweleze ukweli shoga yake. Wanaume crghv
 
Kama dada yako ameamua kutomwambia rafikiye kuwa mchumba wake amemtongoza basi ahudhurie harusi,kama hataki kuhudhuria basi amweleze ukweli shoga yake. Wanaume crghv

NAshkuru ushauri nitafikisha!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom