Mchumba wa kweli

Hakupigi mizinga, yeye anaangalia future tu. Anakushauri issue za maendeleo tu.
 
kama ni mwanamke awe 'mstahimilivu' na ajue malavidavi na kama ni msela awe 'mtafutaji.asiyekata tamaa' na 'ajue kulea'....
 
muombe mungu then katika maombi yako weka ishara ambayo itakufanya ujue kua huyo mtu ndio mungu kakuchagulia,ishara iwe unique ili uweze kujua kwa urahisi.yote yanawezekana kwa mungu.heshimu uchaguzi wa mungu kwako maana yeye anakufahamu vyema na anajua mahitaji yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom