Mchumba wa Dk. Slaa aibua tuhuma nzito

Inatowa maswali mengi sana.... Then unakuja upande wa kusema yeye pekee ndio katamka haya... Slaa na the CDM Crew wapo kimyaaaa... Alafu hapa hapa wanakuja mtu sababu ni CDM ana support... Tuki support hivi then ina maana hata wataposhika nchi itakuwa hivi hivi; sasa hapo kutakuwa na utofauti gani na sasa?
Kuna kitu kinaitwa the Power of Love, Dr Slaa ni mtu mzima au i can call him a old Man, ni mtu makini, msafi na Mzalendo wa kweli kwa nchi yake lakini siamini kamwe kama Mungu anaweza kumpendelea kila kitu akawa na uwezo wa kudhibiti the power of Woman.

Kwanza Josephine bado mbichi tofauti na old Man na nimeshuhudia watu wengi makini lakini wamekuja kuangushwa na wanawake kwa ulevi tu wamapenzi ambao ndio mvinyo mmbaya zaidi hapa Duniani.

Mimi nadhani earlier is better, ni wakati mwafaka sasa kwa huyu Josephine afungwe speed Gavana kwani kuna siku hapa zilikuja thread za kumshambulia Dr Slaa na nilipozipima kwa umakini na kwa undani nikagunduwa ni Mwanamke ndio anayemsababishia mashambulizi yote haya, Dr Slaa alikuja yeye mwenyewe hapa kujibu hoja lakini kwa sisi tunaoangalia vitu kwa jicho la tatu, nadhani huyu Mwanamke ni lazima adhibitiwe mapema otherwise ataharibu Reputation ya Dr Slaa.

Najuwa kwa maandishi haya wapo watakaokuja na kuanza kuropoka lakini mimi nasema Josephine ni Profesional Woman aende akafanye kazi zake Profesional huku kwenye siasa hatutaki siasa za kina Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete. ni lazima Chadema ioneshe utofauti wake na CCM. Mbona mke wa Sumaye, JK Nyerere, Warioba, Salim na wengineo hawana vihelehele vya siasa!?
 
Matola umesema vema sana,Josephine anahitaji kushepiwa mapema iwezekanavyo,huwa anatoa kauli kama mtu mwenye authority kny chama! Tunaipenda Chadema lkn penye kusema ukweli ni muhimu kufanya hivyo ili kukijenga katika misingi thabiti
 
Sasa naelewa kwanini Mzee Slaa hafurukuti kwa Josephine, mpaka ofisi za chadema maamuzi ni yake hata mambo ya fedha. Ni Mshirikina.
 
izi habari zilikuwako humu zikaondolewa fasta

nadhani ni hii hapa wakuu...


  1. Mambo ndani ya usalama sasa yanakwenda vibaya,mpango wa kummaliza kabisa Dr Slaa umeiva. Wakurugenzi wa usalama walikaa kikao chao wiki iliyopita na kufikia maamuzi ya kumuondoa kwenye sura ya dunia Dr Slaa wakiamini kwamba Slaa ndiye mzizi katika Chadema na anaweza kuiangusha ccm 2015 kama alivyofanya 2010 lakini kwa bahati wakafanikiwa kuchakachua kura zake. wameona mazingira ya kuchakachua 2015...ni magumu sana, Njia pekee ni kuondoa wagombea ambao ni tishio na wenye ushawishi wa kuhamishia wanasiasa wengine walio ccm kwenda Chadema. Waliopewa kutekeleza zoezi hili ni vijana wawili,wa kwanza ni yule yule Ramadhani Ighondu. Huyu aliitwa na Othman akaambiwa hawa jamaa wa Chadema wana habari zako zote na wanataka kukumaliza. Akaambiwa Idara inaweza kukulinda endapo tu CCM itaendelea kuwa madarakani, lakini hawa Chadema wakichukua, wewe Ighondu na familia yako mtatoweka kabisa. Salama yako ni kuhakikisha Chadema hawaingii madarakani. Ighondu akapendekeza kutumia kikosi chake kile kile alichokitumia kwa Ulimboka ili kuwashughulikia Chadema atakaoelekezwa kufanya hivyo.

    Othman akamwambia kikosi hicho hakifai, wakashauriana watumie kikosi kilichomkosakosa Kubenea (wale majambazi wanne). Kidogo ikaonekana hiyo inaweza kuwa na mafanikio. Hapa ndipo akaletwa yule bwana mdogo aliyekuwa akitumia wale majambazi wanne, kijana Yussuf Nzoa.(majambazi wanne wote wanafahamika) Huyu kijana tayari ameshaanza mazungumzo na hao watu na ameshawapa mgawo wao wa kwanza. Hawa majamaa wanakamilisha taarifa za kuwasaidia utekelezaji. Tishio hili ni dhahiri na litatekelezwa. Kwenye kikao chao cha kidhalimu, mmoja wao akapendekeza matumizi ya ama uchawi au sumu inayoua taratibu. Huyu aliyependekeza anahofia kuwa njia yoyote itakayofanana na ile ya Ulimboka italeta kelele na dunia nzima itagundua. Anajaribu kuwashawishi wenziwe waachane na hiyo, isipokuwa watumie njia hizi mbili mbadala; sumu au uchawi. Jamaa wanamiliki wachawi wengi sana na wachawi hawa wako makundi mawili. Kundi la kwanza ni lile linalotumika kumlinda Kikwete na huwa linaenda ikulu kila wiki mara moja.


    Kundi hili liko kwenye payrol ya Othman. Kundi la pili ni lile la wachawi waliotaka kumuua Mwakyembe kipindi fulani. Kundi hili liko katika mazungumzo na Zoka kwa ajili hiyo. Hivi sasa, hata hivi navyoandika, Ighondu yuko kwenye kikao kizito na Othman (Mkuu wa usalama wa Taifa Tanzania) wakijadiliana habari hii, wanafanyia timing kipindi hiki Slaa atakaporudi kutoka Ghana. Ighondu ana furaha sana na ameonekana kuwa mtu mwenye matumaini makubwa akiamini kwamba ile habari yake imesahaulika kwenye jamii. Anapewa pesa nyingi sana kwa ajili ya kazi hii. Kimakazi, hivi sasa anaishi Tabata, ametazamana na gate la Chuo cha ualimu st. Mary's. Amepewa gari Mazda, T506 BEL. Kikazi bado anatumia yale maficho yaliyopo Ada estate karibu na Best Bite.Ni mtu hatari sana, amekula kiapo cha kumuangamiza Slaa na kummalizia Ulimboka, anasema Ulimboka naye lazima afe kwa sababu iko siku ataropoka tena. Jambo jengine baya sana ni kwamba wana mpango wa kuua kwa njia hiyo hiyo wabunge ambao wanaamini hawahongeki kabisa kifedha ili wasiibue ile kashfa ya Ridhiwani na madawa ya kulevya Uchina kwa sababu ya connection yake na suala la madini, hasa uranium na wachina. wanasema sasa hivi wanajiendesha kisayansi. Walipo mbrief JK naye akaona safari hii watafanikiwa.

    Updates:

  • Tumekuwa wagumu kukubaliana wakati mwingine.
  • Mnakumbuka ile post ya Riz1 kukamatwa na madawa China?
  • Chanzo cha habari hii: Msifikiri kila nayefanya kazi idara nyeti za juu huku anapenda yanayofanyika, wakati mwingine uvumilivu unaisha inabidi kuwawekea ukweli.
Last edited by Logo; Today at 13:34.
 
Josephine ameamua kumwaga hii habari ili CCM na serikali yake wajue na wajipange upya kwenye ilo
 
Sasa naelewa kwanini Mzee Slaa hafurukuti kwa Josephine, mpaka ofisi za chadema maamuzi ni yake hata mambo ya fedha. Ni Mshirikina.
Hata kama hafurukuti tunataka mambo haya yaishie nyumbani kwao, kikweli halisi Wanaume wengi tuna pretend tu lakini Wanawake wanadhibiti sana waume zao na hili linaweza kuwa weakness ya binadamu binafsi, kama vile Mfalme JK anavyomuacha Prince Ridhiwani afanye lolote analotaka na kuivuruga UVCCM.

Mwanamke anatakiwa afanye kazi zake nje ya Chadema na ampikie Mzee ili awe na afya njema, hivi visingizio vya uanaharakati kwangu havina mashiko, ila hilo la ushirikina mimi sijui kwa sababu si mshirika wa ufalme wa LUCIFER.
 
Hata kama hafurukuti tunataka mambo haya yaishie nyumbani kwao, kikweli halisi Wanaume wengi tuna pretend tu lakini Wanawake wanadhibiti sana waume zao na hili linaweza kuwa weakness ya binadamu binafsi, kama vile Mfalme JK anavyomuacha Prince Ridhiwani afanye lolote analotaka na kuivuruga UVCCM.

Mwanamke anatakiwa afanye kazi zake nje ya Chadema na ampikie Mzee ili awe na afya njema, hivi visingizio vya uanaharakati kwangu havina mashiko, ila hilo la ushirikina mimi sijui kwa sababu si mshirika wa ufalme wa LUCIFER.

Mtu anaerusha tuhuma za uchawi na kurogwa unamuitaje huyo? "Muumini wa uchawi"? au?
 
Mama junior wewe kila siku unasema ni mtu wa Mungu vipi tena leo unaamini uchawi.
 
Hata kama hafurukuti tunataka mambo haya yaishie nyumbani kwao, kikweli halisi Wanaume wengi tuna pretend tu lakini Wanawake wanadhibiti sana waume zao na hili linaweza kuwa weakness ya binadamu binafsi, kama vile Mfalme JK anavyomuacha Prince Ridhiwani afanye lolote analotaka na kuivuruga UVCCM.

Mwanamke anatakiwa afanye kazi zake nje ya Chadema na ampikie Mzee ili awe na afya njema, hivi visingizio vya uanaharakati kwangu havina mashiko, ila hilo la ushirikina mimi sijui kwa sababu si mshirika wa ufalme wa LUCIFER.

Huwezi kumzui mwanamke asisimamie miradi ya mwanaume wake hata siku moja utakuwa unajidanganya Chadema ni ya Dr Slaa, nyie ni wafuasi hamna uwezo wowote wa kumpangia Dr Slaa mnavyotaka nyie Josephine ana haki ya kusimamia mali za mchumba wake Baba Junior Dr Slaa.
 
Mimi kwa yaliyowapata Mwandosya na Mwekyembe siwaamini magamba hata siku moja.Nawashauri wana JF wenye ukweli wa walionyuma ya suala hili watujuze.Ila ukweli ni kwamba kwa vyovyote magamba hawana chao Tanzania 2015 kwa makamanda wako wengi sana na wengine wako CCM watajiunga na wenzao karibia na uchaguzi 2015.
 
Habari zinazomhusu Dr. Slaa zina mhusu mke wake moja kwa moja kumbuka "mke na mme si wawili tena ni mmoja" hakuna siri kati yao, anachojua Dr. Slaa ndo anachojua mke wake na kuna baadhi ya mambo yanayo mhusu Dr. Slaa ambayo mke wake pekee ndo anayajua hata CDM hawayajui.

Kitendo cha yeye kuwa mke wa mwanasiasa maarufu nchini kinamfanya kwa ku penda au kuto ku penda ahusike moja kwa moja na siasa za nchi hii, kwenye nchi zilizo starahabika watu kama yeye statement zao ni credible na zinachukuliwa kama statement zilizotoka kwa mtu mhimu katika jamii

Badala ya kumshambulia kwa kejeli na dharau, wasiokubaliana naye wangejikita katika kumtaka atoe ufafanuzi wa madai yake ili yapimwe kubaini uhalali wake.

Kwani wameshaoana?
 
Nashukuru umeliona hili... yeye kufanya hivo kwa mume ambae hana hadhi yoyote katika Jamii zaidi ya kusema ni mume (or hata kiongozi wa level ya chini ni sawa).

But hii haikai vizuri kwa Dada Josephine kuwa msemaji mkuu wa Slaa... Mambo kama haya ndio huleta utata sana katika kueleweka kwa Kiongozi husika. Hii katika hali ya kawaida inaweza onesha kuwa Madame Slaa ana say kubwa kuliko hata Slaa (kitu ambacho hakiwezi pendeza); sababu watu wapo interested na Slaa na not the Madame.

Support ya Josephini ni muhimu na msingi... Ila support inapokuwa imefika hapa (pa yeye kupost such allegations); Ni hatari (ingawa watu hawataki kuona hilo). Inatoa picha hii....

  1. Viongozi wa CDM waliambiwa wakapuuza aidha sababu hawajali ama hawakuamini habari or whatever!
  2. Dr. Slaa kamuachia mkewe kutoa maamuzi kuhsusiana na issues ambazo zinahusiana na yeye in the lines of politics na publicity (kitu ambacho sio picha nzuri kabisa)... Inafanya mtu ujiulize is she the second Firstlady ambaye nae pia atateuliwa uwakilishi NEC just because the hubby ni president?
  3. Inafanya kuonesha kuwa she is using too much energy katika kukuza jina la Slaa... For what ever reasons alizo nazo.
  4. Kuna another side of the coin too.... Mtu unajiuliza alipata wapi hio intel? Je ni moja wa wale wanawake ambao wanaume huweka trust yake yote hapo (only to realise later ni msaliti? -God forbid)

Inatowa maswali mengi sana.... Then unakuja upande wa kusema yeye pekee ndio katamka haya... Slaa na the CDM Crew wapo kimyaaaa... Alafu hapa hapa wanakuja mtu sababu ni CDM ana support... Tuki support hivi then ina maana hata wataposhika nchi itakuwa hivi hivi; sasa hapo kutakuwa na utofauti gani na sasa?

Ahsante sana AshaDii. Wewe kwelii unaelewa unachokisema. Tusipokua makini katika hii pre mature stage tunaweza zalisha kina Sitti Mwinyi wengine ndani ya chama.

By the way, ningekua Slaa leo ningemshauri Josephine apunguze spidi, she is too fast!
 
samahani wakuu labda mimi sielewe maana uchumba ,huyu ni mchumba au mke? naomba msaada
 
Mchumba wa slaa tulishamuonya siku hizi ameacha siasa ndo maana hasikiki tena
 
kwa aliyotazama series ya 24 hatapata taabu kugundua maisha ya dr slaa na josephine ni kama maisha ya david palmer na mkewe shelly... shelly alikuwa mwingi wa habari akidhan anamsaidia mumewe katika masuala ya uongozi ila kumbe ilikuwa ni kinyume chake.
 
Kwani Slaa ndio mgombea wa UKAWA! Kama ni yeye wamekwisha, hana mvuto tena, nani amuue huyo mzee!
 
Back
Top Bottom