Mchumba ninayekaribia kumuoa mjamzito

kama anaweza ajaribu traditional ways kupunguza makali.

Kila asubuhi ajitapishe kuondoa nyongo kooni hasa kwa mswaki, kabla hajala chochote.

Asikae na njaa sana, inaongeza kichefuchefu.

Kama anatema sana, alambe jivu kidogoooo.

Ajitahidi kula, kama hawezi hata uji wa limao au ukwaju. Tena wa ulezi ni mzuri, ila ikifika miezi mitatu asinywe uji wa ulezi.
Mtori pia hufaa.
 
Hii inaitwa hyperemesis gravidarum. Mpeleke hospital mkuu atazidiwa hivi hivi huku ukiishia kusema eti nadeka
 
Na bado!!
Hujaona bado, mbona utakuja sana hapa JF.

Cha msingi kama unatumia mchina tafuta simu yenyewe ya ukweli maana utakua permanent member hapa MMU.

Mademu wajawazito wana visa sana. Tafuta wimbo wa Soggy Doggy wa ZAI usikie jamaa anavyolalamika tabu anazozipata from mkewe mjamzito.
 
kunanilihi uliona raha kumsaidia mwenzio kipindi hiki unaona taabu, kusafisha mavi ya mtoto si utaona kinyaa?

Unapaswa kumpa sapoti sasa hivi na mpaka mtakapoanza kulea...
Kichefuchefu ni kawaida, tena ushukuru huyo anajitahidi hata kusimama, wengine mpaka dripu zinawahusu maana kila kiingiacho mdomoni kinatoka.....

Inawezekana hali hiyo ikaisha miezi 3 ya mwanzo au ikaendelea, hospitali wanaweza msaidia kwa dawa za kuzuia kutapika ingawa madawa sio mazuri saaaana heri avumilie.....

Ndo ukubwa huo, karibu kwenye chama
Mwambie bana, hiyo ndiyo faida ya ile raha ya dakika mbili za siku ileee.... chezea mimba weye...
Mkuu kabla ya kubebeshana mimba inabidi mjiandae kisaikoilojia la sivyo utaikimbia nyumba, kama alivyosema snowhite hapo juu mwenzako, nilikuwa napiga simu mara kadhaa haipokelewi na nikirudi home ghubu mtindo mmoja eti kwa nini sijampigia simu... mwenzako nilikuwa naomba samahani kwa kupiga magoti............

Usione tunaishi hapa duniani, kila mmoja kaja na vitimbi vyake..................
 
Last edited by a moderator:
Omba kwa mungu mimba isikuchukie, anaweza akakataa harusi isifanyike baba ohooooo kisa hataki kukuona, chezea mimba wwe eeenh hahahahahahahah
 
kama unajua na hormone reaction ujue unajua mengi sana.

Kama wee wa nje unaona shida imagine yeye ambaye hizo reaction zinatokea kwake.

Wee ndio nakuona unadeka sana, na umeileta hapa ukidhani tutakuhurumia wewe zaidi.

No, be a man.
Kwenye maisha kuna magumu zaidi ya kulea mimba, na utatakiwa kuyatolea maamuzi kama kichwa cha familia.

Hivi kama utashindwa ng'oa mchicha, mwembe utauweza? Au mbuyu?

safi Sana Kongosho!
 
A loving husband anajulikana mke akiwa na mimba....

Wanawake wengi wanaanza kuwa hate waume zao kipindi hiki...to the rest of their lives...
Msidhani mnavyo wamis treat wanasahau....ukipenda boga penda na ua lake...

Kama hamtaki kero si mu adopt?
 
A loving husband anajulikana mke akiwa na mimba....Wanawake wengi wanaanza kuwa hate waume zao kipindi hiki...to the rest of their lives...Msidhani mnavyo wamis treat wanasahau....ukipenda boga penda na ua lake...Kama hamtaki kero si mu adopt?
Tiririka nani apende hiyo makitu?
 
Fikiria hata wewe uwe mgonjwa wa malaria (maana mnasemaga wenyewe mimba si ugonjwa, utadhani mlishawahi beba mkajua inakuwaje) unatapika afu mtu akwambie unapretend....

Huo ni uktili hakuna maelezo mengine wala excuse...


Tiririka nani apende hiyo makitu?
 
Ndio maana napenda JF hili jukwaa. Mara zote napata challenges zinazonifanya niwe bora zaidi.
 
Mimba iliingia bila kupiga bao? Bluetooth inahusika eeh, ama bbm? Chizi fresh weeh, ningemjua ningemuomba siku moja akutapikie.
Bahati mbaya nilireply kabla haujaedit. Kupiga bao na nilichoomba kusaidiwa kimawazo kwa wenye 'experience' ni tofauti na ulichonijibu.... Anyways.... Nitazidi kuwa mwanamume zaidi
 
Na wewe ukunga wa jadi ulisomea kolandoto nursing home? Majivu hayaruhusiwi wala pemba. Kuna digital ways, aende kushtaki vichefuchefu polisi, i mean clinic
kama anaweza ajaribu traditional ways kupunguza makali.

Kila asubuhi ajitapishe kuondoa nyongo kooni hasa kwa mswaki, kabla hajala chochote.

Asikae na njaa sana, inaongeza kichefuchefu.

Kama anatema sana, alambe jivu kidogoooo.

Ajitahidi kula, kama hawezi hata uji wa limao au ukwaju. Tena wa ulezi ni mzuri, ila ikifika miezi mitatu asinywe uji wa ulezi.
Mtori pia hufaa.
 
He he he he, hii ni konnie school of Hygiene ana health studies.


Yah, may haviruhusiwi, ila vinasaidia tu

Jivu lenyewe hata kijiko cha chai hakitoshi.

Pemba japo inaongea madini ya chuma, ila inasababisha constipation ya hali ya juu kwa wajawazito wengi
Na kama kipindi cha kujifungua kimekaribia ndio mambo ya kutanguliza Doto hayo badala ya Kurwa

Na wewe ukunga wa jadi ulisomea kolandoto nursing home? Majivu hayaruhusiwi wala pemba. Kuna digital ways, aende kushtaki vichefuchefu polisi, i mean clinic
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom