Mchumba ninayekaribia kumuoa mjamzito

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
473
Nawasalimia...
Mchumba ninayekaribia kumuoa(early next year) ni mjamzito wa miezi michache ya kwanza.

Mahari ilikwishatolewa, sasa tuko kwenye vikao vya harusi/sendoff.

Tatizo sasa;
dakika moja katapika.... Yani nahisi anajifanyisha..... Analegea akisimama kidogo eti amechoka.....

Hivi ni kweli ujauzito mdogo wa ki embryo unakuwa hivi? Sasa miezi 9 si balaa....

Hakukaliki!! Nahisi anazidisha kudeka.....

Wenye experience nisaidieni pls
 
Mhhhh! Ni aje Kongosho!? angekuwa karibu huyu ungemrarua ili asirudie tena kutoa kejeli kama hizi.

wee acha ujinga
kama unaona kazi ndogo, beba wewe hiyo mimba.

Ungeboreka siku ile unapiga bao na kumpa mimba.

Beba majukumu yako ya kumjali kihisia kama mme.
 
Last edited by a moderator:
wee acha ujinga
kama unaona kazi ndogo, beba wewe hiyo mimba.

Ungeboreka siku ile unapiga bao na kumpa mimba.

Beba majukumu yako ya kumjali kihisia kama mme.

Bahati mbaya nilireply kabla haujaedit. Kupiga bao na nilichoomba kusaidiwa kimawazo kwa wenye 'experience' ni tofauti na ulichonijibu.... Anyways.... Nitazidi kuwa mwanamume zaidi
 
hahaha sasa wee umemtia mimba...kwanza mlikubaliana kuwa mnataka mtoto? kama lah basi mbwage na no ndoa.

kama mlikubaliana basi beba mzigo wako mwana...alafu unapiga kele tafikiria wewe ndio bichwa linapita kwenye K yako vile
 
Mzabzab umeanza vyema ila hapo mwisho heshimu kilichokutoa tumboni mwa mama yako....

Am not joking here so either you give a good advice bila kutukana au you read and quit
 
Inawezekana mimba yake inampelekesha, mimba katika miezi ya mwanzo huwasumbua walio wengi, cha msingi ni wewe mumewe kua mkarimu na umchukulie kama alivyo, yaani nenda nae taratibu , kama sasa hivi mko wachumba unaonekana kuboreka kwa kua anadeka , sasa atakapozaa hao watoto watakua na nafasi hata ya kukohoa mbele yako kweli? Vumilia ikishafika miezi 4 na kuendelea ataacha kutapika, na kama anadeka kupitiliza pindi atakapojifungua yeye mwenyewe atajikuta anaacha kwa kua yale majukumu ya kumhudumia mtoto yatam shape akae sawa.
 
Asante. Nitajitahidi kuvumilia na kuwa karibu nae zaidi na zaidi.....
 
Mke wangu hiyo hali ya kutapika na kukosa nguvu ilianza mimba ikiwa changa kabisa (wiki 2) mpaka kama miezi mitatu then ikaacha. Kwa hiyo nadhani ni hali ya kawaida sana, unachotakiwa ni kum care kwa umakini na kuongeza ukaribu huku ukimpa pole nyingi na kumfariji mwenzio. Hongera kwa kuonesha dalili za kuwa kidume.
 
Pole sana, hiyo ni kawaida kwa wasichana wengi, me mwenyewe mimba zangu zikiwa na wiki 3 naumwa mpaka nalazwa, kutapika pamoja na kichefuchefu, hivyo mvumilie tu, hadeki ni hali halisi, ikifika miezi 3 au 4 hiyo hali itaacha.
 
Bahati mbaya nilireply kabla haujaedit. Kupiga bao na nilichoomba kusaidiwa kimawazo kwa wenye 'experience' ni tofauti na ulichonijibu.... Anyways.... Nitazidi kuwa mwanamume zaidi

ewaaaaaaah!
marhabaaah!
na huo ndo uanamume!
MWANAUME KIFUA KAKA!MWANAUME MAJUKUMU
MWANAUME KUJIREKEBISHA FASTA akihisi hayuko sawa mahala fulani!
uliza kaka na baba zako wadogo walivopata shida na vimimba vichanga vya wake zao Dark City hebu kuja kipande hii The Boss a bit of ue uzoefu iz needed here SnowBall hebu mueleze kijana wetu ile habari inakuwaje fabinyo we una uzoefu very recently hebu msaidie kijana Mtambuzi mzee mzima hebu waambie jinsi mama ngina alivokuwa anakutuma udongo ukileta anakwambia nilikutuma ubuyu alivokuwa na mimba ya King'asti C6 mwambie inakuwaje kulea kijacho wenu na charming lady
wakimaliza hawa utakuwa poa kabisa!
 
Last edited by a moderator:
kunanilihi uliona raha kumsaidia mwenzio kipindi hiki unaona taabu, kusafisha mavi ya mtoto si utaona kinyaa?

Unapaswa kumpa sapoti sasa hivi na mpaka mtakapoanza kulea...
Kichefuchefu ni kawaida, tena ushukuru huyo anajitahidi hata kusimama, wengine mpaka dripu zinawahusu maana kila kiingiacho mdomoni kinatoka.....

Inawezekana hali hiyo ikaisha miezi 3 ya mwanzo au ikaendelea, hospitali wanaweza msaidia kwa dawa za kuzuia kutapika ingawa madawa sio mazuri saaaana heri avumilie.....

Ndo ukubwa huo, karibu kwenye chama
 
kama unajua na hormone reaction ujue unajua mengi sana.

Kama wee wa nje unaona shida imagine yeye ambaye hizo reaction zinatokea kwake.

Wee ndio nakuona unadeka sana, na umeileta hapa ukidhani tutakuhurumia wewe zaidi.

No, be a man.
Kwenye maisha kuna magumu zaidi ya kulea mimba, na utatakiwa kuyatolea maamuzi kama kichwa cha familia.

Hivi kama utashindwa ng'oa mchicha, mwembe utauweza? Au mbuyu?

Kongosho kuniita mjinga sidhani kama ni neno sahihi. Sijui hormone reaction inakuwaje lakini nahisi inahitaji uvumilivu sana
 
Mzabzab umeanza vyema ila hapo mwisho heshimu kilichokutoa tumboni mwa mama yako....

Am not joking here so either you give a good advice bila kutukana au you read and quit

sasa nimetukana kivipi hapo....kwani kichwa hakitokea kwenye K
 
Nilifikiri mimba siyo yako

mimba yako na una ujasiri wa kulalamika?

hata mi nilihisi hivo nilisoma heading,eti ''mchumba ninayetaka kumuoa ni mjamzito''
kuna kaubinafsi hapa lakini ukitukuta siye wataalamu wa lugha na matumizi yake yaani kipragmatiki zaidi sijaipenda hii heading!
mimba ni tokeo la tendo milotenda wote kwa upendo inakuwaje mwenzio apitie hii hali umuone ni boresome
atakapoanza kunyonyesha atashikwa kweli huyu dada?
kuna kupokewa kweli kubembeleza mtoto usiku hapa au ndo yale ya hebu mbembelezee sebuleni mi nataka kulala
mi navojua kijana akifika that stage tena anaoa kabisa mbona ye ndoa kidume anatamani hata matapishi ayabebe akamwonyeshe mamake jinsi alivyo exited!
well tunazidi kujifunza !
 
ningemsema sana angekuwa karibu yangu.

Na ninaomba vijana wangu waziwe na deko
maana mama yao niko ngangari sana.

Mhhhh! Ni aje Kongosho!? angekuwa karibu huyu ungemrarua ili asirudie tena kutoa kejeli kama hizi.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom