Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

Ni kiasi gani cha muda mtu anahitaji kusahau... Tatizo lipo hapo natamani ningeweza kuchukua uamuzi tofauti, kwani tangu nilipojua nimekosa amani, the Body is willing but the Spirit is too weak, kifupi nampenda sana huyu binti, itz just i cant live with the fact kuwa kuna wageni walimtembelea.

Chichi, pole sana.
ushauri wangu kwako ni kumwacha huyo mwanamke kwani sio mwaminifu na mkweli. yaani ndani ya miezi mitano amemegwa na wanaume wawili? hiyo ni hatari sana je mngekuwa mbali kwa mwaka mzima so ndo angemegwa hata na wanaume watano. hiyo ni tabia yake so hata mkioana lazima atatoka nje ya ndoa.hakufai huyo Chichi.
 
Its not easy for some people to let go off love ... listen to your heart ... see if you have really forgiven her and that you still love her ... if you do ... tell her mwende mkapime if she is ok then ... you decide what to do next

Kwani kweli inaelekea amejutia dhambi zake ... na she has really confessed to you ... kuwa mkweli ni step kubwa sana in life as that element lacks in many of us

Na kama kaamua kukuambia ukweli then you can ask her the reasons why she did it in the first place .... pengine distance ... ama she as a human being ameshindwa kuzuia hisia zake ... maybe pesa alikuwa hana so that was her outlet to get money ... just crosscheck if you surpass all that ... ukigundua that you cannot fulfil any of them ... then please run as fast as you can
 
kwa jinsi ulivyo eleza hapo juu huyu hakufai tena hafai atakuja kukuletea malazi ndani umeona tayali kesha megwa na jamaa wawili tofauti ndani ya miezi 5,je ukikaa mwaka si utakuta kesha kuwa USED wewe mpige chini tu.
Kama kweli bado wampenda basi kubaliana na haya kushare mapenzi na hao jamaa kwani najua mahawala iwa hawaachani hata siku moja ila wanancho fanya ni kukumbushia pili kupata malazi kwa starehe fupi uliyo ing'ang'ania ambayo inaweza ikakusababishia kifo ukatoweka mapema.Wapo wengi bana na wenye sifa zaidi ya huyo mpige chini tu.
 
kwa jinsi ulivyo eleza hapo juu huyu hakufai tena hafai atakuja kukuletea malazi ndani umeona tayali kesha megwa na jamaa wawili tofauti ndani ya miezi 5,je ukikaa mwaka si utakuta kesha kuwa USED wewe mpige chini tu.
Kama kweli bado wampenda basi kubaliana na haya kushare mapenzi na hao jamaa kwani najua mahawala iwa hawaachani hata siku moja ila wanancho fanya ni kukumbushia pili kupata malazi kwa starehe fupi uliyo ing'ang'ania ambayo inaweza ikakusababishia kifo ukatoweka mapema.Wapo wengi bana na wenye sifa zaidi ya huyo mpige chini tu.

Yuko wapi huyo atakaeshushiwa ambaye hajaguswa na wengine ... ni kubahatisha sikuhizi otherwise nyote mnachukua used these days ... tena worse for wanaume maana hawana alama yoyote .. so they are used ...used and almost misused!!!!!

Give her second chance kama hana maradhi ... kitendo cha kwenda kumpima tu kitamtia adabu ... ame confess .... wewe unataka asisamehewe
 
Inawezekana ikawa ngumu sana kumtoa moyoni mwako!

Lakini hicho kipindi ni kifupi sana kwa mwanamke kumegwa na wanaume wawili, ukiwaza vizuri unaweza kugundua kuwa hiyo si bahati mbaya bali ni maamuzi yake kabisa.Two times in 5 months!!!!.Ukimuoa huyo hata uaminifu utakukao kuwa nao juu yake ni mdogo na hii itapelekea migongano ya mara mara.Bora kujiwahi mapema

Achana naye tafuta mwingine.
 
mh huyo mchumba hajatulia! miezi mi5 wawili!je ukikaa mbali nae kwa mwaka itakuaje?hapo ni alokutajia may be kuna wengine kaona aibu kukueleza! NDO MANA MWANA fa BADO YUPO YUPO!
kicheche huyo piga chini utapata mwingine alietulia
pia ninahofu hao anaowaambia wamt.e kisiri (huku wakijua ni mchumba wa mtu) ata ukio atawaambia tu tena ndo atakutambulisha anko zake!
sina mengi ila ACHANA NA HUYO KICHECHE !
 
Unampenda na umeshaamua kumsamehe sasa sijui msaada unaoutaka ni upi hapa. Nahisi bado unaumia sana moyoni mwako kwa yaliyojiri kisogoni mwako na unatamani ungekuwa na courage ya kumuacha, zigo la maumivu limekuelemea ndio ukaamua kuja kulitua hapa barazani.
Nikuambie ndugu yangu, dawa ya hili suala ni ndogo sana- Na wewe nenda ukageme, tena ikiwezeka wewe kageme mara mbili ya idadi yake, you will be so suprised the difference it makes, you will regain urijali wako back and it will make you feel good about yourself na utajikuta umemsamehe jumla na kuzidi kumpenda mwandani wako zaidi, ila tu usisahau daluga mwanangu kwenye revenge mission yako, goodluck!

KKN
Senior Sexpert.
Kana-ka-Nsomali..! Duh
Mtu wangu nakuaminia.Sasa mjadala umekamilika.
I like the way ulivyo " down to earth ".
 
Yuko wapi huyo atakaeshushiwa ambaye hajaguswa na wengine ... ni kubahatisha sikuhizi otherwise nyote mnachukua used these days ... tena worse for wanaume maana hawana alama yoyote .. so they are used ...used and almost misused!!!!!

Give her second chance kama hana maradhi ... kitendo cha kwenda kumpima tu kitamtia adabu ... ame confess .... wewe unataka asisamehewe
Naimaomari
Hujatutendea haki.
Si mahala pote ambapo EMBE CHANGA WAWEZA KUZIANGUA....MAHALA PENGINE SHARTI UZISUBIRI ZIWIVE..........
Inategemea wewe NAIMAOMARI waishi wapi.....waishi ambako Embe zatunguliwa kiholela au.......
 
naungana na wanaoshauri umwache dalili zinaonesha ukioa itabidi uwe tayari kutoa misamaha kama ambaao utatoa acha siku atakazokaa kimya akimegwa kwa sababu anasubiri umshitukie ndo aombe msamaha
 
Kaka pole sana na yaliyokukupata ila inakubidi umshukuru MUNGU kwa kukuwezesha kujua hilo.ila la msingi kaka nenda hospitali mkacheki kwanza maana huyo kisura wako kapita na wengi na wewe umeamua kumsamehe.kabla ujafanya naye mapenzi please mkacheck HIV status! pole sana ndio ukubwa huo!!
 
Kupenda kila mtu anapenda ila kwa kuchetuka nje alidhamiria na mpaka akaenda kuiisikilizia. Ingawa hakuna aliyemsafi ila kikubwa ni MARADHI. Na kama wampenda ndindi kumoyo haya bana ckilizia moyo ila na VIRUSI je??? Nendeni mkapime
 
Rafiki yangu, bila shaka wewe ni mdogo kwangu kiumri, najiweka hivyo kwasababu mimi nimzoefu sana wa hayo mambo kuliko wewe. kwasababu nilishachumbia sana na hadi baadae nilimpata wa kuoa nikaoa mda sasa. kwa kifupi, jambo kama hili lilishawahi kunikuta mimi personally.

Mimi lilikuwa hivyohivyo na liliniuma sana kiasi kwamba nilitaka hadi nifeli mtihani wangu wa chuokikuu kwasababu lilitokea sehemu mbaya. kama mtu ana tabia hiyo, bora afanye wakati hamja ingia kwenye ndoa kuliko mkiwa ndani rafiki yangu.

MIMI NAKUSHAURI MPIGE CHINI HUYO DEM, NI SHETANI NA SI WAKO. kama aliweza kukuficha wakati mmekaa muda wote huo, wewe una matatizo gani aliyoona haridhiki nayo hadi akabetray kiasi hicho? kama anao ujasiri wa watu hadi wawili, huyo noma. angekuwa mmoja na mara moja tu, ningesema kuwa alipitiwa kwasababu ulikuwa mbali na hamu ilimshika. lakini huyo alikuwa ni malaya kiufupi. miezi mitano tu ameshakuwa na wanaume wawili?

Je ukiingia nae ndani utakuwa tayari kula na wenzio? manake ukiingia nae huyo naona mabosi wake kazini hadi walinzi watakuwa halali yake kwasababu ni mziki mnene huo wa kubeba watu wawiliwawili na wewe watat...hahaha. mpige chini. tafuta taratibu waaminifu wapo wengi tu. ila huyo, atakuumiza moyo sana ukiwa kwenye ndoa nae, manake atakuwa analala na kila mtu. ukienda safari kikazi atakuwa anahimishia kabisa kwako.

Kama haujasafiri kikazi huyo atakkuwa anaenda kwenye lodges za jioni kama sinza mle ambako mabosi ndo huwa wanawamega wafanya kazi wao kabla ya kurudi nyumbani jion. yaani anaenda pale anachukua lodge chumba elfu kumi na tano tu, anambandua mfanya kazi wake halafu anarudi nyumbani kama vile amechooka na kazi. ndo zaoooooo. mpige chini.

Nashangaa hujampiga hata ngumi.
 
CHCHI,

Ukweli unauma lakini huna mchumba hapo; Kawaida ni kwamba ukimegewa huwezi kusahau (unless wewe si mwanaume!!) na kama huwezi kusahau.. hutakaa umuamini milele. Na Nguzo kuu ya ndoa ni upendo na uaminifu, kwa hiyo umeshavunja ndoa hata kabla hujafunga

Pili; Kama mwanamke wako anaweza kukaa miezi mitano na akaliwa na watu wawili ( na hujui mara ngapi... si ajabu hao wawili mamemla mara 20 au hata 40!!) - Then ujue ni hulka yake na hata aishi wapi, lazima atachapwa tu!!

Tatu; wewe hujawahi ku-cheat??

Mwisho - If you miss one bus, the other is coming (every hour after...) na hakuna kitu kama siwezi kusahau na inaniuma

Yamenitokea na naishi maisha mazuri zaidi kwa sasa baada ya uchafu wa kwanza

Ni mimi
 
Naimaomari
Hujatutendea haki.
Si mahala pote ambapo EMBE CHANGA WAWEZA KUZIANGUA....MAHALA PENGINE SHARTI UZISUBIRI ZIWIVE..........
Inategemea wewe NAIMAOMARI waishi wapi.....waishi ambako Embe zatunguliwa kiholela au.......

Mwenzangu hapa Bongo utaula wa chuya ... upepo mdogo tu .. embe changa zote chini kwenye mchanga ... hao wapopoaji ndiyo usiseme maana sikuhizi wendawazimu kabisa .... wanalenga tu jiwe .. likipata bivu twende likipata changa twende ... tena sikuhizi wanavichukulia eti vichanga ndivyo salama .. havina maradhi ... taabu tupu

Kisarawanda hamna tena mwenzangu ... somo hana kazi sikuhizi
 
mwenzangu Hapa Bongo Utaula Wa Chuya ... Upepo Mdogo Tu .. Embe Changa Zote Chini Kwenye Mchanga ... Hao Wapopoaji Ndiyo Usiseme Maana Sikuhizi Wendawazimu Kabisa .... Wanalenga Tu Jiwe .. Likipata Bivu Twende Likipata Changa Twende ... Tena Sikuhizi Wanavichukulia Eti Vichanga Ndivyo Salama .. Havina Maradhi ... Taabu Tupu

Kisarawanda Hamna Tena Mwenzangu ... Somo Hana Kazi Sikuhizi

taratibu Mwana Mama... Wanikumbusha Kipindi Niko Kwa Mze Wa Shamba Pugu...
 
pole kwa yaliyokukuta, na hongera kwa kugundua mapema.
Japo ni msichana mwenzangu, lakini mhhh, simtetei huyu, hajui maana ya commitment na anacheza na penzi lako, hayuko serious ndio hata kaweza kukuambia.
Hata hamuendani anakuchukulia for granted,
Hebu jichunguze, mwenyewe kama uko tayari kumuwazia hayo siku zote?
je ametubu kweli? au wewe unamsaidia kujuta?
kwa kifupi mwache aende zake.
 
Sadly this type of situation is more prevalent than we care to admit.Jana kuna rafiki yangu aliona kuna mtoto anajishaua anga zake, akachombeza chombeza akakuta ma ZIP code yana match na nini.To make a long story short within about 20-30 min jamaa alikuwa anachukua mzigo, sema tatizo lake alikuwa anataka namba ya demu wakati demu alikuwa hataki kutoa namba ila alikuwa radhi kuchukua namba ya jamaa.

Kwa nini alikuwa hataki kutoa namba? "I am seeing someone right now" sasa mbona alikuwa radhi kuchukua namba ya mshikaji wakati anajua yuko na mtu.

Ni ubatili, ni ubatili, ni ubatili mtupu !
 
sikiliza wimbo wa mwana FA,subiri subiri kwanza utapata mwingine,tatizo la vijana unajikommit wakati hata hujaoa,kuwa nao hata kumi alafu kila mtu unampima kivyake.kisha utapata mke halisi
 
Kama umemsamehe kapimeni virusi vya ukimwi nendeni kwa viongozi wa dini tafuteni suluhu ya matatizo yenu na mfunge ndoa. Inawezekana hata wewe umewahi kujikwaa hivyo si vibaya na wewe ukatumia wakati huo kuconfess. Ukweli unauma lakini ukweli hukuweka huru.
 
Wenzangu naona mnasahau kitu kimoja ambacho Chichi amekieleza, nacho nikwamba.. ule msamaha kama msamaha tu tayari keshautoa. Tatizo ni kwamba pamoja na kuwa msamaha wa kidunia umeshatolewa, ndani ya roho yake kuna kitu ambacho kimechefuliwa. Kitu hicho ni kiini cha uwepo wake wote, something that makes him - him, something core to his consciousness. Ndiyo maana kila mara anakuwa na hilo dukuduku, haliondoki na vigumu kuondolewa na mtu wala maombi. Ni dukuduku na jambo la rohoni ambalo likishakuwa violated - kwa kifupi, halifutiki!

Anaweza akaenda msikitini au kanisani kuombewa, anaweza akaenda kulipiza kisasi, lakini ile violation kwa vile imeshatendeka, no matter what, the person will never forget.

Kama atajitahidi kuvumilia na kuonesha amemsamehe, hata baada ya miaka 40, Chichi bado atakuwa na scar ya hiyo violation. Ni ya milele and has got nothing to do with mwenzawake. Huyo mwenzake hata kama atakuwa amebadilika na kujirudi tabia yake.... bado, kiini cha yote ni hiyo violation iliyotokea ndani ya conscious ya Chichi. And the sad thing is, when that violation happens, IT IS IRREVERSIBLE and IRREPARABLE!!

Pole Chichi.

SteveD.
 
Back
Top Bottom