mchumba anatafutwa

watu kama wewe ni mapoyoyo kweli hv katika zunguka zunguka zako zoote na miaka yako yote 32 eti unakuja kutafuta mchumba kwenye social networking tool!!!
hv upo serious kweli na huyo mchumba unayemtafuta? unajua kweli nini maana ya uchumba au umekurupuka bro!!!!?
awake brother! Unapotafuta mchumba lazima uhakikishe unafanya uchaguzi sahihi
ni muhimu kumtaget mtu ukamchunguza ukiridhika naye ndo unaenda ku-propose sio unakurupukia huku MMU, au umetendwa unaona uje umtafute huku wa fasta ili atulize machungu yako?
but kama ndo ivyo utakayempata atakuongezea machungu bro!
just awake ujue unachokifanya
 
Huwa najiuliza ukisaka mchumba kwa style hii, unawafanyisha interview ili utoe kipaumbele kwa mweupe ama unachukua mweupe wa kwanza kummeet?
kuna vitu sitakaa niweze kuregister kichwani kwangi.
 
Nilivyosoma post yako ya kwanza nlitaka nikushauri uende kanisani utawapata vizuri, but post ya pili ndio umeharibu.

Ushauri;
Nenda kwenye ile post ya pili ui-edit uweke maneno mazuri, na kwa kua hakuna aliei-quote basi mambo yatakua shwari kabisa!!
 
Mkuu hutumii pombe wala sigara starehe yako nn sasa??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu hutumii pombe wala sigara starehe yako nn sasa??

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mkuu. mi kupiga mbizi, football, na mda mwingi nipo kwenye majukumu ya kitaifa, ajira, biashara, na kilimo, sijui kama nimekujibu swali lako vizuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom