Mchumba anatafutwa

hiyo rangi nyekundu inawatisha. unatumia rangi nyekundu kwani hizi habari za kifo?. mia
 
Mikwara yako hata wengine watogopa kukucheki..All the best kaka!!!
 
..................................................................................
 
ni pm usikate tamaa, inawezekana bahati ni yako, so don't give up my fellow!!!!!!

mbona sijakuelewa??bahati ya atakayekupm au bahati yako wewe mtafutaji??
Dah vigezo vyote ninavyoo tatizo kimoja tu unaweza kuniconsider???
 
Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

WASIFU WANGU;Serious na kwa dhati kabisa natafuta msichana aliyetayari kuingia kwenye ndoa na kuanzisha nae familia kama mume na mke baada ya kufahamiana na kuridhiana. Kama hauko serious tafadhali kaa kando kwani sitaki mambo ya kupotezeana muda.

WASIFU WANGU;
Jinsia: Mwanaume
Elimu yangu: juu(chuo)
Umri: 32 yrs
Mwonekano: Mwembamba kiasi, urefu wa wastani, mweusi kiasi.
Dini: mkristo ( katoliki)
Kazi: mwajiriwa/biashara/kilimo pia
Uhusiano: nipo single na sijawahi kuoa.
Mtoto: sina
Pombe: situmii
Sigara: situmii
Nyumbani: natatokea kanda ya ziwa
Makazi ya sasa: dsm

WASIFU WA MLENGWA;
Jinsia yake; msichana
Umri wake; asizidi 22-28 yrs
Mwonekano wake: awe na umbo la wastani ( sio mwembamba sana au mnene sana, au mfupi kabisa), mweupe au maji ya kunde atapewa kipaombele.
Dini yake; mkristo ( mcha mungu wa kweli)
Kazi yake; yoyote halali au hata kama hana kazi sawa
Uhusiano: awe single, hajawahi kuolewa.
Watoto: asiwe na mototo
Vilevi; asitumie pombe wala sigara au kilevi cha aina yoyote
Nyumbani: mwenyeji wa kanda ya ziwa atapewa kipaombele.

Kwa msichana yeyote mwenye wasifu huo aliyetayari na aliye serious kwa kuingia kwenye ndoa tuwasiliane kwa email
lowerones@yahoo.com

Ndio maana ndoa za siku hizi hazidumu. Waoanaji wameweka mbele masharti na vigezo bila kuangalia upendo halisi na mapenzi ya kweli. Mkiwa katika mapenzi ya kweli hakuna haja ya kuangalia mashart na vigezo ambavyo havina maana kwa mfano, weupe au weusi, unene au wembamba n.k. hivi hujui kama wembamba hunenepa na wanene hupungua?
 
HAPPINESS WIN...we ni mutu ya nguvu saaaaana...
 
....................................................................................................
 
2siokuwa na hzo cfa uwiii.

Jamaani Mwanamme ndio huyo ameshajinadi kwasifa alizonazo na za Mwanamke\Mke anaemtaka, Alwayz Wanaume ndio waoaji na tuna asilimia 80% ya kuoa Mwanamke tunaemtaka kwa sifa na vigezo, Wenye sifa bahati ndio hiyo changamkieni tenda.
Ukisema Mwanamke usubili uwoe ww ama upate unaemtaka imekula kwako
Kwani watakuja wengi bt kwa matamanio yao nakufuata ulichonacho.
Wanawake wana asimia 25% ya kupata Mwanamme wanaemtaka jst kwa vigezo na mashart wanayotaka.
Ndio maana nasema alwayz Mwanamke upendwe sio upende utamiaaaaa...
 
haya nami nitajinadi baadae nitafute wa vigezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom