Mchumba ananichanganya.

Huyo ni sistaduu. Halafu simu tatu za nini? Itafika wakati atakuumbua kutokana na maisha hayo ya kufikirika unayompa. Anapanda daladala? Jaribu kumrudisha katika maisha halisi. Ikishindikana fikiria tena upya kabla mwaka kesho haijafika
raia fulani nimekupata.siyo kwamba anatumia simu tatu kwa pamoja.nimekuwa namnunulia simu na sasa zimeshafikia tatu.moja iliibiwa mwaka juzi, nikamnunulia nyingine ambayo aliitumia mpaka ikachakaa sana,tukaiuza nikaongeza hela nikamnunulia hii ya sasa.maisha yetu ni ya chini mno.so ndiyo picha halisi.
 
nashindwa kutoa kauri yangu kwakuwa sijui vitu vifuatavyo

1.level yake ya elimu
2.umri wake
3.mazingira aliyokulia
4.uwezo wa familia yake kimaisha
5.je hzo sm tatu zote unaweza ku access internet?

hyo combination ningeipata, ningepata jibu ambalo at least lina aproach ukweli.

Ila kwa haraka haraka naweza nikasema hicho kitu si kizuri kwenye mapenzi, kwamba

changu chetu, chake chake.Pengine kungekua na jinsi ya yeye hakujibu wewe kama

wapenzi. Ila dada zetu wengi ndivyo walivyo hasa hao ambawo kuanzia 15-22 of ages.
 
kuna mapenzi hapo au kuna analofaidi kwako kaamua kujibanza hapo kama kupe anafyonza taratibu kazi kwako
 
Yaani ulimnunulia simu 3 kwa wakati mmoja? Za nini zote? Au ndio Tigo, Zain, Voda etc? Kumbe unao uwezo wa kununua simu zote hizo kwanini usinunue ya kwako tu yenye internet? Lakini be careful huyo huenda akawa ni material wife.
 
raia fulani nimekupata.siyo kwamba anatumia simu tatu kwa pamoja.nimekuwa namnunulia simu na sasa zimeshafikia tatu.moja iliibiwa mwaka juzi, nikamnunulia nyingine ambayo aliitumia mpaka ikachakaa sana,tukaiuza nikaongeza hela nikamnunulia hii ya sasa.maisha yetu ni ya chini mno.so ndiyo picha halisi.

kwa maelezo yako ya sasa nimekupata. Huyo mwanamke hana kosa. Ukishampa mtu kitu na kumwambia ni chako, huna mamlaka nacho tena. Hata yeye inawezekana anatumia intanet hivyo unamnyima haki yake. Wewe ndio ujipange na ununue yenye mtandao.
 
Mmmh ndugu yangu simu zote 3 anakazi yoyote anayofanya, vocha unaweka ww au?
Nitarudi ukinijibu maswal haya
 
kwa maelezo yako ya sasa nimekupata. Huyo mwanamke hana kosa. Ukishampa mtu kitu na kumwambia ni chako, huna mamlaka nacho tena. Hata yeye inawezekana anatumia intanet hivyo unamnyima haki yake. Wewe ndio ujipange na ununue yenye mtandao.

lkn mkuu kuna jinsi wapenzi wanavyo deal na matatizo kama hyo.hao sio watu baki, they are two people fall in love. naomba ukijibu iwe in the name of love, amen
 
lkn mkuu kuna jinsi wapenzi wanavyo deal na matatizo kama hyo.hao sio watu baki, they are two people fall in love. naomba ukijibu iwe in the name of love, amen

i just happen to pass here once again. Kuna kitu tunaita ridhaa. Pia kwani huyu dada hatumii intanet? Kisa kanunuliwa basi atoe tu? Ndugu mleta mada aone ni kawaida tu kukataliwa jambo kama hilo. Labda kama yapo mengine. Suala la kukataliwa simu ya intanet ambalo akiikosa hafi wala kudhurika lisivunje mahusiano. Angekataliwa hitaji la msingi ningemwelewa
 
Pole sana Kaka yangu, nikupe ushauri mmoja .

Umemuchunguza toka mwaka 2008 mpaka leo utakuwa unamfahamu vizuri sana, jibu unalo mwenyewe ila tu ndoa ni kifungo. think again and again.
 
Mnyang'anye hizo 2 ambazo hazina internet halafu uuze then ununue yako ingine ya internet kama pesa haitoshi ongezea au nitafute nikuongezee! I ain't saying she is a Gold digger!!!:help::A S 101:
 
Jamani lakini hajasema kama huyo demu alimwomba amnunulie hizo cm tatu, ina maana ni yeye mwenyewe alijipendekeza na kununua hizo cm tatu. Sasa swali kama uliweza kununua cm tatu, kwanini usinunue chapchap cm yako mwenyewe yenye internet? Au ndiyo unataka kumnyang'anya ki-aina?
 
Mchumba wako ni mchoyo na mbinafsi

kweli kabisaa FL1...
na hizi ni element mbaya sana katika mahusiano,
kama mambo madogo kama simu inakuwa hivyo,makubwa je kama kiwanja /nyumba ukimuweka jina lake si itakuwa balaa...

mkiachana unaweza usiwe na mahali pa kukaa...:redfaces::redfaces:

mwache tu huyo hana maana...
 
pole .uyo sio
ana tabia izi;
1.mchoyo
2.hana uruma
uyu bwana ata ukiishiwa usiwe na mawazo like demu wangu atanipa tafu..dahh uyo ni wa changu ni changu chako ni changu....iweje ashindwe kukuazima simu jaman?afu et ulimnunulia mwenyewe ata km aukumnunulia jst frend una sm 3 washndwa kutoa moja?
ahh babu uyo kwako kaja kimaslahi...nba ukimuoa tegemea ata ela ya chumv atakusubr utoe+ndg zako wakija lazima pachmbike........
UYO MWANAMKE MCHOYO ..SHE Z NT GOOOD 4UUUUUUUUUUU....sense ya sharing HANA...utanyonywa mpk lin?
UNATUMIKA APO BROOO ndo mana ata akukuonea uruma kwa kukosa cm...pole
 
kwa maelezo yako ya sasa nimekupata. Huyo mwanamke hana kosa. Ukishampa mtu kitu na kumwambia ni chako, huna mamlaka nacho tena. Hata yeye inawezekana anatumia intanet hivyo unamnyima haki yake. Wewe ndio ujipange na ununue yenye mtandao.

sawaq kabsa.
lakin kwa mtu mwenye swaga km izi uwa na tabia gan kwa ujumla?
i ni dalili ya ...uyo demu MCHOYO BABU.
 
Back
Top Bottom