Mchuchu wa JF na dushelele

Mjukuu wangu natoka kusali sasa hivi.

Haijakatazwa ku appreciate.

Wewe huwa ni STAR wala usinishuku. Mie ni babu yako.:eyebrows::eyebrows:

jamani jamani......umejuaje kama we ni mzee?? Eti.....umezeeka upande gani vile? Lol
 
ha ha ha, mie huwa nataga tu
mwenza anakazi ya kuatamia
mie namsaidia kutotoa
afu yeye analea vifaranga

kama uko tayari niende kucheck hospitali
maana haya mayai yangu kuna wakati nilifulia nikayakaangia chips
sina uhakika kama bado yapo
konnie,be mai valentino!
 
Sitaki tuu......mi nampenda ila ye ndo anazingua, iweje anikumbuke kwa sababu kapwaya kwenye valentine?? (alafu nahisi kumchukia hadi mama yake maana ye ndo kauzibe khaa)!!!
Acha hizo bana. . . .kubembelezwa hakuji mara mbili ujue!!!!
 
Si mpaka uwe kiukweli kweliii??? Ngoja nikutoe wasiwasi......najua unaogopa makofi mie huwa napapasa......sinaga hizo mambo za mkong'onto!!
kha! Taarifa za kiintelijensia zinasema huyo bwanako Invisible kila siku unamtia mingumi,tabu ya nini bana? Ishia huko huko.
kipipi tupa kurrrrrreeeeeeeeeeeeee!!!!!
 
kha! Taarifa za kiintelijensia zinasema huyo bwanako Invisible kila siku unamtia mingumi,tabu ya nini bana? Ishia huko huko.
kipipi tupa kurrrrrreeeeeeeeeeeeee!!!!!

Yaani unazunguuuuka, unatafuta visingizio weee!!! Hahahah mr banana man! Poa.....baki salama mie naenda zangu!!
 
Basi atalala hapo barazani. . .na atakufuata popote kwahiyo jiandae.

mmh......hapo nitamuonea huruma, ili kuepusha hilo basi kuanzia kesho sitokuwepo na sitopatikana kabisaa kwenye simu!! Mie nimemaind kweli, haiwezekani hilo tabasamu alifiche siku zote hizo jamani, alienda kumtabasamia nani??
 
Nilaumu mimi. . .nilikua nimemficha ili ummiss kidogo. Embu mkubalie bana. . . . . !!!
 
Back
Top Bottom