Mchuchu wa JF na dushelele

NN kafungiwa, FLY naye jana kala ban, sasa baada ya Bwa'Nchuchu kufunguka naye anatarajia atarambwa ban! Gademu.....ngoja nitafute majina mengine kama matatu hivi just in case Bwa'Nchuchu anakula ban.
 
ha ha ha, mie huwa nataga tu
mwenza anakazi ya kuatamia
mie namsaidia kutotoa
afu yeye analea vifaranga

kama uko tayari niende kucheck hospitali
maana haya mayai yangu kuna wakati nilifulia nikayakaangia chips
sina uhakika kama bado yapo

we kongosho wewe!......i love you......naomba unizalie.....
 
nakuaminia kamanda NN! You know what, hakuna kitu na admire kama brain,we ni kichwa aisee,hoja zako zimesimama hata kama sikubaliani nazo all the time, lakini nina appreciate thinking ability yako. Hakuna kitu napenda kama mental acrobatics,!

Bahati yako ya mtende......umeogopa ngumi za ugoko eeh?? We endelea tu kulopoka!
 
Mjukuu wangu natoka kusali sasa hivi.

Haijakatazwa ku appreciate.

Wewe huwa ni STAR wala usinishuku. Mie ni babu yako.:eyebrows::eyebrows:
 
Simtaki.....mapenzi gani ya valentine day tu! Lol

Hahaha. . .
Mbona anakupenda zamani bana. . .au mapenzi kwako ni viepe?Lolz . . haya kesho namnunulia gunia la viazi na ndoo ya mafuta. . ushindwe mwenyewe!!
 
Hahaha. . .
Mbona anakupenda zamani bana. . .au mapenzi kwako ni viepe?Lolz . . haya kesho namnunulia gunia la viazi na ndoo ya mafuta. . ushindwe mwenyewe!!

Sitaki tuu......mi nampenda ila ye ndo anazingua, iweje anikumbuke kwa sababu kapwaya kwenye valentine?? (alafu nahisi kumchukia hadi mama yake maana ye ndo kauzibe khaa)!!!
 
Back
Top Bottom