Mchuchu wa JF na dushelele

hahahaaaaa NN bana,nilijua tu....style betrayed you/

Kaka, wala sio style betrayed me. Everything is done by design. Sasa wewe na wengine mnadhani kuwa mmegundua wakati mimi wala lengo langu halikuwa ku conceal my ID.

Ningetaka ku conceal ID yangu ningeweza kwani uwezo huo ninao. Sasa hapa wala hilo halikuwa lengo langu. Kilichobadilika ni jina tu na nimefanya hivyo makusudi kabisa.

Sasa wewe na wengine kama mnataka kuji-pat on the back kwa kupatia...then go right ahead. But just know that I made it so easy for you guys to guess...if I had wanted to hide, I would have done it. But hiding was never my intention to begin with.
 
Sio Nchuchu ni Bwa'Nchuchu. . .
Alafu Bishanga kwani tatizo liko wapi haswa?Mwache Bwa'Nchuchu awe.

Za weekend fresh tu. . .hongereni kwa kushinda.

following Mkuu NN kujilipua,na out of respect kwa tendo hilo la kishujaa nafuta post yangu hapo juu maana nilii compose kabla ya tukio hili la kitaifa.
NN RESPECT my brother!!!
 
hivi kumbe
Missed you sana

hivi hata kuacha ujumbe kwenye profile yako haiwezekani

nimeyavua maneno yangu na bishanga kuhusu jina hili

tena ni zuri sana wala halina matatizo
litumie tu

What do you think....? Au umesahau jina langu....? lol
 
following Mkuu NN kujilipua,na out of respect kwa tendo hilo la kishujaa nafuta post yangu hapo juu maana nilii compose kabla ya tukio hili la kitaifa.
NN RESPECT my brother!!!

Iache tu...it's not that big of a deal!

I just want you to know that concealing my ID was never my intention and if I wanted to conceal it I would have done so because I have the wherewithal to do so.
 
Kaka, wala sio style betrayed me. Everything is done by design. Sasa wewe na wengine mnadhani kuwa mmegundua wakati mimi wala lengo langu halikuwa ku conceal my ID.

Ningetaka ku conceal ID yangu ningeweza kwani uwezo huo ninao. Sasa hapa wala hilo halikuwa lengo langu. Kilichobadilika ni jina tu na nimefanya hivyo makusudi kabisa.

Sasa wewe na wengine kama mnataka kuji-pat on the back kwa kupatia...then go right ahead. But just know that I made it so easy for you guys to guess...if I had wanted to hide, I would have done it. But hiding was never my intention to begin with.
nakuaminia kamanda NN! You know what, hakuna kitu na admire kama brain,we ni kichwa aisee,hoja zako zimesimama hata kama sikubaliani nazo all the time, lakini nina appreciate thinking ability yako. Hakuna kitu napenda kama mental acrobatics,!
 
ungeficha isingeleta utamu huu.

@shostito, sasa naomba kwa kwa kwa nitoke out, naona ukumbi ushafurika.

Tena naenda zangu Travetine nikasikie 'Kupendwa ndio huku, kupendwa kuheshimiwaaa. Sio wewe zumbukuku kutwa kiguu na njia. Mie namisiwa hadi anajitoa mhanga kivingine'
Leo kunawaka moto
 
afu, kavue hiyo jezi
na nikuone unashangilia hata bia
nakugecha

Back
Top Bottom