Mchuano Urais CCM: 14 waanikwa hadharani

Hizo picha zimenifanya nione kuwa habari yenyewe haijafanyiwa uchunguzi wa kina. Pinda alishatangaza kustaafu kabisa siasa 2015, leo anawekwa kundi la wasaka urais? Nonsense! Eti Nahodha anataka urais wa muungano??? hivi mwandishi wa hiyo habari mzima upstairs???

mdau,,,,hao huwa wanakuja na ile sound ya kuombwa na wazee,,,maneno ya PINDA,SI SAWA NA YA NABII ISSA AU MTUME MUHAMMAD,,,,,,
 
1.jpg




  • Nani kati ya hawa ana ubavu kushindana na wa kutoka Chama Cha Chadema?
  • Je hawa waliopo hapa ni kitu kimoja au wamegawanyika?
  • Atakapochomoza mmoja kati yao wataungana au vita vitaendelea kugawa nguvu zao?
  • Kuna mwenye kujenga mazingira ya kuunganisha nguvu au mgawanyiko tu wa makundi?

Utasikia safari hii tunataka mwanamke kama kwenye uspika as if sex matters kwenye good leadership and administration!!
 
1.jpg




  • Nani kati ya hawa ana ubavu kushindana na wa kutoka Chama Cha Chadema?
  • Je hawa waliopo hapa ni kitu kimoja au wamegawanyika?
  • Atakapochomoza mmoja kati yao wataungana au vita vitaendelea kugawa nguvu zao?
  • Kuna mwenye kujenga mazingira ya kuunganisha nguvu au mgawanyiko tu wa makundi?
Hapo ni Bilali ndiye anayefaa!
 
Tanzania siyo nchi ya majaribio. Tunahitaji mtu aliye compitent kweli na mwenye experience ya kutosha kwenye masuala ya siasa.

hiyo mineno nawesa ongea ndani kwa kikao ya mwasiri ya jk, huku inje mutu nataka chadema, subiria mbeleko ya chenge!!!!!
 
CCM wakishinda urais, hata jukwaa la siasa sinto ingia tena. Nitaangaika zangu na jukwaa la biashara. Mimi nitafutezangu hela nisukumesukume siku kabla kuperish. Mfano Magufuli(aliesema watu wapige mbizi) anafaa kua mtumishi Lakini siyo kwa ngazi ya urais. Pinda ananuka ujingaujinga tuu, kama alilia akiwa PM je; akiwa rais si atalia mfululizo miaka mi5!!.. . . . .
 
Hizo picha zimenifanya nione kuwa habari yenyewe haijafanyiwa uchunguzi wa kina. Pinda alishatangaza kustaafu kabisa siasa 2015, leo anawekwa kundi la wasaka urais? Nonsense! Eti Nahodha anataka urais wa muungano??? hivi mwandishi wa hiyo habari mzima upstairs???
We mwite mwandishi unavyomuita, malengo yake yametimia; namely kuuza gazeti!
 
....[/COLOR]

Only Magufuli, Mwakyembe, na Sitta ndiyo wanafaa hapo. Hawa wazenji bure hamna kitu hamna kipya tamaduni yao ya kisiwani ni kikwazo kwa wapenda maendeleo na mambo ya huruma na urafiki kwenye kazi.

Kigoda na Lowassa wako ndani sana kwenye biashara na ufisadi na hawatasaidia katika azma yetu ya kuuondoa huu mfumo wa kifisadi na mafisadi wenyewe.

Migiro na membe ni JK wengine tena, Pinda upm umemshinda Urais utakua a step too far, Sumaye hana rekodi kabisa ya maamuzi alipokua Pm, urais wa 2015 utahitaji maamuzi zaidi na ya haraka na makini.


Bila Mwakyembe, Sitta au Magufuli CCM basi tena.
 
Sikujua hata Bilal anautamani urais wa Tanzania. Na Nahodha naye anajiona ni presidential material? Mungu wangu Watanzania tumekukosea nini?

Acha dharau mbona Kikwete ni wa level za akina nahodha lakini Watanzania wamemwacha aendelee kuuza sura Ikulu? hakuna lisilowezekana Tanzania kwa taarifa yako hata mimi Mvaa Tai nikipata fursa nakiongoza tu Kitanzania.
 
Tanzania siyo nchi ya majaribio. Tunahitaji mtu aliye compitent kweli na mwenye experience ya kutosha kwenye masuala ya siasa.[/QUOTE]

Mwenye experience ya kutosha kwenye masuala siasa ! mmmh. Nilidhani utendaji. Kama ni siasa hapo wote wanafit wote wana experience ya kutosha tu kaka.
 
Narudia kusema na nitasema siku zote, Wanazi wa Mkwe,re mtakuja kunitusi Bramo mie lakini sitaacha kuongea, Taasisi ya Urais imedhalilishwa Mno na Mkwe.re, yan nowdays kila mtu anahisi anaweza kuwa Rais, simply Bcoz ya aina ya Rais tuliyenaye kwa sasa, Nahodha, Karume a.k.a Ahmadah, yani hawa nao ETI wanajiona ni ma Presidential Materials...
Ptuuuuuuuuuuuuuh.....
 
Back
Top Bottom