Mchina

Badu

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
407
106
Mchina kadaka demu akaingia
naye guest,basi mchina kila
akipiga bao 1 anashuka kitandani
anapiga push up nin,mara
anaingia uvunguni mwa kitanda
anatokea upande wa pili,basi akafanya hivyo mpaka bao la
9,bao la 10 yule demu nae
akashuka akapiga push
up,kuchungulia uvunguni mwa
kitanda akakuta wachina kama
9,Demu akazimia!
 
Ndio maana timu yao ya taifa ilifungiwaga kipindi fulani kushiriki kombe la dunia kisa walipotoka half time wakaingia wapya wote!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom