Nimesikia BBC, mtoto wa miaka 16(nadhani wa kike) amevunja record upande wa kuogelea.
Inasemekana speed yake ilikuwa karibu sawa na ya muogeleaji mwanaume.
Ila baadhi ya washiriki wanasema hiyo haiwezekani na huyo mtoto lazima apimwe kama anatumia madawa.
Naomba mwenye taarifa za kina atujuze.