Mchina na demu wa kibongo

Simba Mkali

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
620
239
MCHINA mmoja alidaka demu mmoja wa Kibongo akaingia naye katika gesti alipofikia na kuanza kula vyombo, kila Mchina alipokuwa akipiga bao moja, alikuwa akishuka chini ya kitanda na kupiga push-up, mara anaingia uvunguni na kutokea upande wa pili, basi Mchina akawa akifanya hivyo mpaka alipofikia bao la 9, bao la kumi na yule demu wa Kibongo naye akashuka na kuanza kupiga push-up, alipochungulia uvunguni ili aingie na kutokea upande wa pili aliwaona Wachina kama 9 hivi wakiwa wamelala. Demu yule akazimia palepale.
 
Ucjali mwaya!hata kama ilishapostiwa wengine ambao hawajawahi kupita humu wataisoma na wengine pia tunapenda vya marudio!
 
Hata kama ka-copy na ku-paste,mi nilikuwa sijawahi kuiona.hivyo yeye ndiye wa kwanza kunijulisha.
km zpo nyingne za zamani zirudishen jamvin tujikumbushe.
 
Back
Top Bottom