hapo unaangalia upande mmoja tu wa consumer na producer- mbona huzungumzii wachafuzi wa hayo maji kushughulikiwa?!. Yaaaaaaaani tumehalalisha utiririshaji wa maji machafu kwenye mabonde?!.So who are you complaining to? What action are you going to take. There are actions you can take. Stop eating those veges. In the long run it will deprive the growers and vendors of their market and they will stop producing. I did. Or start sensitising other people about the dangers of Msimbazi valley produce. Or sensitise the growers on the damage they are causing to their customers' health. And more. Stop mourning you young people, take action. But then most of you are not here in Bongo. You can afford to groan and grunt from the comfort of distant lands.
Kwa Kweli maisha ya wakazi wa Dar yapo hatarini sana.......
Wafanyabiashara wanachojali ni kile kinachoingia mifukoni mwao na sio kinachoingia tumboni mwako.....
Mambo kama haya yananipa nguvu ya kurudi kijijini!!....nikamalizie umri wangu huko
Dar es salaam kuna watu wenye uelewa na wasio, wapo wanaojali na wasiojali. Je, mboga za majani ambazo ni salama zinapatikana?Maji yanayotumika kumwagilia mbogamboga katika bonde la mto Msimbazi. Miwa na mapapai
pia vinapatikana kwa wingi.Hapo ni chini ya daraja lililopo eneo la Kigogo Sambusa.
View attachment 32820
View attachment 32821