mchezo wa ki-mama-mama!

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
Ivi ni nani ambaye hajawahi kucheza mchezo wa kimamamama au kombolela na ulipokuwa unacheza ulicheza kama nani?
 
Sema wewe kwanza ulikuwa unacheza kama nani?
Siyo unatuuliza wakati wewe hujisemi@hasason
 
mimi nilikuwa nacheza kama baba halafu kipengele cha kulala kilifurahisha zaidi kilinogaje hasa mchezo wenyewe uwe kwenye pagare.
 
The funny thing watu walikuwa wakicheza ki-baba baba au mama mama na kaka zao au dada zao
 
Back
Top Bottom